Kila nikiset naizima halafu naiwasha lakini imeshindikana.Izime halafu iwashe ujaribu tena
Hebu jaribu kuwasiliana na service provider(mtandao wa simu unaotumia)Kila nikiset naizima halafu naiwasha lakini imeshindikana.
Nimejaribu kuwasiliana nao, wakanielekeza niingie kwenye setting niseti, nimefanya ila imeshindikana.Hebu jaribu kuwasiliana na service provider(mtandao wa simu unaotumia)
Simu yenyewe ni mpya kiongozi mwezi mmoja nimenunua. Labda niirudishe dukani.Tafuta mpya
Hapana mkuu, sio feki.Ni feki pole nunua ingine