Recent content by boseboi

  1. B

    Biashara na vyumba vya kupanga kipi bora katika kuwekeza

    Ndugu wa tz habari zenu, Leo naomba mnisaidie mawazo na nyie km nipo sawa au na mm nakosea, Kaka angu alieniachia kuzaliwa ni muajiriwa serikalini sekta ya afya, Aliniomba ushauri kua anataka kuchukua mkopo bank afungue duka la nafaka, Anasema kaenda Bank kuuliza rate ya riba anasema ni kubwa...
  2. B

    Naomba niijibu hoja ya Mtume Mohamed kumuoa binti wa miaka tisa

    We dini unaasmbiwa ukifa unapewa bikra 72 kwa akili ya kawaida kbsa Ina make sense?
  3. B

    MSAADA WAKUBWA

    Aiseee Kuna story nilipewaga na mtu alipata tatizo km lako alighushi barua na akaenda kuchonga muhuri fake na akapata hela zake chap Ila mm sijui ata Cha kukushauri
  4. B

    Hizi ndio mbinu za biashara nilizojifunza kutoka kwa muuzaji nguli wa simu Kariakoo

    🤣🤣 nikajua umetema madini ya hatari kumbe pumba tupu
  5. B

    Nani mwenye Teknolojia zaidi? Sisi Waafrika au wenzetu?

    Sio kweli sisi hatukupewa akili sawa kubali ukatae ndo mana unaona vidole havipo sawa mwingine kapewa ufup mwingine urefu, hatuwezi kufanya chochote bila kutumia technology Yao ivi umeshawahi kujiuliza ingekuaje kama wasingekuja wakoloni kututawala ingekuaje?? Leo hii tupo wise kwa sababu ya...
  6. B

    Nani mwenye Teknolojia zaidi? Sisi Waafrika au wenzetu?

    Swali unalouliza ni sawa na kusema ni lini mbuzi ataweza kua ngombe, bila ya kutawaliwa Wala chochote mungu alivotuumba aliwapa akili nyingi wazungu hatuwezi kuwafikia kwa lolote hata tufanyaje mpka mwisho wa Dunia ova
  7. B

    Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

    IPO ivi mdg wangu utoto Bado unakusumbua huja mature kiakili, nilidhan labda umekuta mke wako Wana mawasiliano chanya na huyo baba wa mtoto ila kumbe ni unajutia maamuzi ulioyafanya apo umefeli, unapomsaidia mtu yeyote usi demand kulipwa fadhira Fanya kama unatoa sadaka kanisani, Mimi baba angu...
  8. B

    Nawaibia siri ya kumfunga au kutoa sare na Yanga

    Simba angeshinda Leo huu uchambuzi usingejuwepo😄😄😄
  9. B

    Wazazi hawakuelewana Mahari, Binti anataka atoroke Nyumbani aje kwangu

    Watu mnatunza kumbu kumbu wapuuz nyie🤣🤣🤣🤣🤣
  10. B

    Omba omba Dodoma waja kivingine

    Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv Mmoja kati Yao alikua ana mtoto mchanga kambeba lakini kamgeuzia mbele Basi bwana wakaniita ,nikasogea pale wakaniambia wanaomba...
  11. B

    Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

    Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje...
  12. B

    Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa maisha magumu na heka heka za kutokua na kazi maalum niliopitia baada ya kufukuzwa ,na Mzee kwangu nitakua tofauti sana, mwanangu wa kiume akae tu home hata akipata na vitukuu hapa sawa Maisha ya kujitegemea bila kua na msaada au support yeyote kwa ndg mabaya sana unaweza kujikuta kibaka...
  13. B

    kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Hawa watu wanaojifanyaga wameishika dini, wanakuambia hatuli nguruwe alafu dhambi nyingine wanazifanya, et usile hadharani Yan shida zako wewe ziwape shida na wengine, na hyo Sheria waifanye huko huko Zanzibar huku kwetu bara watakuja kutafuta matatzo
Back
Top Bottom