Uchunguzi wa kifo cha mzee kibao umeishia wapi?
Vp uchunguzi wa kifo cha MC Pilipili?
Wonders shall never end..Hakuna jipya hapo!!!!
Wampumzishe tu salama,waendelee na mambo yao..!!!
Kama nchi,kuna mahali tulikosea ambapo mpaka leo tunaadhibiwa..!!!
Sijui tu huwa serikali inatuonaje watu wake...nasi jana tumelipwa ila kwa mbinde sana...[emoji23] had tuliwaambia kuwa watu wa lodge wanataka kutuny'anyanya vishikwambi
Katika kazi ngumu za serikali mwaka huu,hii inaongoza...[emoji23] na hapo tu ni mfano wa kaya 1 na una maswali zaidi ya 100 ya kuwadodosa..[emoji3578][emoji1487][emoji23][emoji1493]
Uingiaji tu Kibatala mahakamani ni shida...huingia na mabegi makubwa mawili ya kuburuza nayote yamejaa vitabu [emoji3578][emoji23]..je,shahidi akiyaona,si lazima augue[emoji3578]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.