Recent content by Borro

  1. Borro

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Mtanzania mzawa wa kwanza kuwa Mkurugenzi mkuu wa TISS.
  2. Borro

    Kubadili Umiliki wa Kiwanja

    Makadirio YA kodi TRA huwa ni ten percent YA pesa uliyonunulia. Lakini pia waweza kuwasomesha jamaa TRA wakakukadiria na kodi ikashuka ingawa kitu kidogo kinaweza kuhusika. Anyway Mara nyingi huwa wanakadiria kulingana na evaluation inayokua imefanywa na watu wa Land na pia mkataba wa manunuzi...
  3. Borro

    DRC Kongo: Mtanzania atekwa Bukavu. Watekaji wataka $2,000,000 wamwachie

    Aiseee, masikini Eng. Kapanda, this is very bad news to hear. Niliwahi kufanya nae kazi, dah inauma sana. Tumuombee kwa mungu watekaji wasimdhuru. Na kwa serikali hii ya sasa dah ilivyo slow kudeal na issue kama hizi masikini wa Mungu msimamie wamuachie salama.
  4. Borro

    Msaada kuhusu application TCU with CAS

    Thanks mkubwa but nadhani sijamix kati ya zero na o, pia kati ya L na 1, nipo makini kwa hilo. So far bado hakijaeleweka kabisa yaani.
  5. Borro

    Msaada kuhusu application TCU with CAS

    Jamii Forums naomba msaada kujulishwa tatizo lipo wapi katika kutuma maombi na CAS kila nikijaza voucher namba kutoka TCU inaniletea meseji kwamba the namba inserted ipo invalid. Nimejitahidi sana kurudia kwa umakini zaidi lakini bado haikubali na inaleta the same meseji. Please guys, tatizo...
  6. Borro

    Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wasira, confirmed bila cheche kapigwa kipigo cha aibu. Malofa mida hii wapo mitaani na mavuvuzera full shangwe.
  7. Borro

    Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mzee Wasira chali tayar. Bulaya mpaka sasa kashinda zaidi ya 80% kata zote.
  8. Borro

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Mleta topic acha uongo, eti watu wamefurika. Watu waliohudhuria wa kawaida sana. Hata kiasi cha watu waliohudhuria ufunguzi wa kampeni kwa Ester Bulaya walikua wengi mnoo. Mbona pia hujatoa ripoti kuzomewa kwa Wasira?.
  9. Borro

    Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    Mwana hakuna kurudi nyuma pamoja na kelele nyingi za baadhi ya wadau hapa JF. Utaoaje rimwanamke rililozaa bana?. Wanawake kibao mzee pick na utindue mwenyewe. Piga chini huyo faster.
  10. Borro

    kiwanja kinauzwa mwanza

    Ok, anyway ufafanuzi wa mwisho, unajua nini mi nipo serious mkubwa usichoke. Kigara bado nashindwa kupatambua. Hebu niambie kipo karibu na wapi kati za hizi sehemu za buswelu wilayani. Ccm kule juu, voda yaan mbele ya ccm, karibu na ofisi za manispaa, hapa katikati mitaa ya kabwalo, mitaa ya...
  11. Borro

    kiwanja kinauzwa mwanza

    Kata ya kigara?, ndo maeneo gani hayo?. Mi nilidhani ulivyosema kimepimwa nikajua pengine ni hivi viwanja vya buswelu alimaarufu kama wilayani. Sa hicho kiwanja chako kimepimwa na kipo ndani ya plan ya manispaa ya ilemela au ndo vile viwanja vya skwatazi?. Maana unasema kimepimwa na kinajulikana...
  12. Borro

    kiwanja kinauzwa mwanza

    Superuser, buswelu ni kubwa, kama vipi ongeza maelezo ya sehemu hicho kilipo. Mi napajua buswelu na pia naweza kuwa interested kufanya biashara iwapo nitaona kipo sehemu nzuri. Nipe maelezo ya sehemu kilipo then will later come back to you for business.
  13. Borro

    Kuitwa Kazini TPDC

    Yaweza kuwa ni kweli walishaanza kuita, maana hata mie nimepata taarifa za huyo jamaa research officer (chemical & process) kuitwa na tar 20 atasign contract then tar 26 ni siku ya kuanza kazi. So yaweza kuwa washaita watu kwa ile intervw ya may, ila hii ya hiv karibuni inaonekana bado.
Back
Top Bottom