Superuser, buswelu ni kubwa, kama vipi ongeza maelezo ya sehemu hicho kilipo. Mi napajua buswelu na pia naweza kuwa interested kufanya biashara iwapo nitaona kipo sehemu nzuri. Nipe maelezo ya sehemu kilipo then will later come back to you for business.
Kata ya kigara?, ndo maeneo gani hayo?. Mi nilidhani ulivyosema kimepimwa nikajua pengine ni hivi viwanja vya buswelu alimaarufu kama wilayani. Sa hicho kiwanja chako kimepimwa na kipo ndani ya plan ya manispaa ya ilemela au ndo vile viwanja vya skwatazi?. Maana unasema kimepimwa na kinajulikana na uongozi wa kata. Usichoke mzee hebu endelea kutupa maelezo zaidi.