Recent content by BornlessOne

  1. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No Reforms No Election!
  2. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Aliyenzisha hii thread amewapatia sana. Amefanikiwa kutengeneza kichaka reliable kwa ajili ya kufanya spinning kwa namna anayotaka. Amewavuta, akawajaza na mmejaa haswa kama makoala!
  3. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kukusanya saini million 15 nchi nzima za Watanzania wanaounga mkono kampeni yao ya mabadiliko nchini na kisha kuiwasilisha kimataifa

    Wewe unadhani walioanzisha huo utaratibu hawakuwaza kuhusu hicho unachokifikiria. Au unadhani hiyo imekuwa ni mambo ya referrals za online jobs.
  4. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Hawafanyi kumuharibia, kwani hukusikia amewapa baraka zote? Na hata hivyo weledi wao wa kulitumikia taifa umeishia hapo, tusitegemee cha maana zaidi.
  5. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Wale mliokuwa mnasema... Oooh, mama anahujumiwa! Ooh yeye hausiki! Nadhani mmepatajibu.
  6. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Wacha moto uwake.
  7. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa wauguzi wa kujitolea kwa mkataba ,

    Mnahitaji wangapi, tusije tukaanza kusumbua watu kumbe nafasi mlizonazo ni mbili.
  8. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mkuu, jamaa amepangilia vizuri story yake na ina mtiririko mzuri bila shaka. Utakuwa umekosea kufuatilia kutokana na namna post zinavyokuwa updated hapa jf.
  9. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Imekaa njema.
  10. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Joannah ukiwa tayari nijulishe tuongozane.
  11. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Nipe maelekezo na mimi nifike huko kwenu.
  12. BornlessOne

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naiogopa miaka yangu 40

    Tuliza kitenesi mkuu. Alafu pia jitambue wewe ni mwanaume.
  13. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Ukinywa ya ginger & lemon ni kama unakunywa fruto, sijaielewa kabisa.
  14. BornlessOne

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Watapiga sendeu... Nchi ina miujiza sana hii.
Back
Top Bottom