Sio utumwa hiyo ndio maana halisi ya maisha, hebu waza Kila mtu awe na pesa, je kazi na utatuzi wa changamoto ndani na nje ya jamii ni nani atazitatua, lazima kusiwepo usawa ili mambo yaende
Kwa
Sa
Mkuu
Safi sana unajua sana kuelezea vizuri. Kwa uzoefu wangu huyo anakutengenezea mfumo wa kukunasana ili iwe vigumu wewe kumuacha na badaye utatumika kwa masilahi yake tu.. Mi pia nimenasa kwenye mtego kama huo.
Kwangu ishu awe hajatumika, mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na sio mwamamme kwa ajili ya mwanamke ndio maana wakawekewa, seal, mwanamke asiye sealed hata kama aliwahi toa mimba huwez jua kabisa, utaishi na muuaji hadi siku utaaga dunia achilia mbali waliomkatikia
anza kulala nje na tafuta mwanamke mwingine huko nje,pia nguo zako uwe unatoka nazo zikafuliwe huko,ukifanya hivi utakuja na mrejesho mzuri,akishakaa sawa huyo wa nje piga chini kimyakimya
mi nilikuwanikilala gafla nasikia nimebanwa lakini nilivyozid kutafit nikagundua sio ndoto bali ni mtu au kiumbe fulani kwani hata mguu au mkono hausogei,nilipojaribu kufumbua macho niliona kitu cha ajabu ajabu mnyama sio mnyama mtu sio mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.