Recent content by border

  1. B

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    Serikalini katika muswada wa Bima ya afya kwa wote imesema vyanzo vya mapato vitakuwa pombe sigara na betting unataka kusema waislamu wasitibiwe
  2. B

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nasumbuliwa na tatizo la ngozi kuwasha kuacha viupele na mwili kuvimba
  3. B

    Tatizo la kuvimba mwili na matatizo ya ngozi

    Nawasalimu kwa upendo wa dhati. Nimekuwa nikipata changamoto kwenye mwili wangu hasa KUVIMBA kwa mwili NGOZI kuwashwa kupata viupele na kuacha alama pale ninapojikuna. Tatizo hili lilianza taratibu na limekuwa likikua siku hadi siku, ilianza nikila matunda hasa matikiti mwili unaniwasha Sana...
  4. B

    Hivi kuna dawa yoyote au namna ambavyo wakati wa tendo la ndoa mwanaume anaweza kujizuia kumaliza?

    Hata Mimi nimewaza kwa kama taifa tuna vijana was ovyo kiasi hiki
  5. B

    Hivi kuna dawa yoyote au namna ambavyo wakati wa tendo la ndoa mwanaume anaweza kujizuia kumaliza?

    Habari wanajamvi? Katika harakati zangu za kujitafutia mkate wangu wa kila siku leo nimefika mahala nikakutana na vijana watatu na mzee mmoja wa makamo. Watu hao walionekana wafanyakazi wa kampuni fulani, katika mazungumzo kijana mmoja alimuuliza yule mzee swali ambalo lilikosa majibu. Swali...
  6. B

    January Makamba ni Obama ajaye?

    Hayo ni mawazo kindezi mtu ameshindwa Wizara ya Nishati ndia ataweza kuongoza???
  7. B

    Nani Muongo kati ya Msemaji wa Serikali na Rais wa TUCTA?

    Mtoa mada unauliza swali gani hilo hapo hakuna aliyedanganya wote wanaisemea serkali na wote ni chawa wa CCM
  8. B

    Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Tangu lini phd kutoka UDSM ikawa na uwezo wa kubuni vyanzo vya mapato
  9. B

    Waziri Nape unajisikiaje kuona uliyemuita "kiroboto" akiteuliwa kuwa Balozi?

    Kwa hiyo Shule ya uongozi tutakuwa tunaipata moja kwa moja kutokea Malawi?
  10. B

    Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Hata forex sio upigaji ni vile hujapata elimu ya kutosha siku ukipata elimu utaleta ushahidi hapa kutuambia sio utapeli so keep learning
  11. B

    Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hakika kwa hili la kutoipa Chato Mkoa mama anastahili pongezi mimi ni mkazi wa Chato lakini hatukuwa na vigezo vya kuwa Mkoa
  12. B

    Haitowezekana kwa Chato kuwa mkoa na huu ndio ukweli

    Safi kabisa hatuwezi kutumia rasilimali za Taifa kwa mambo yasiyokuwa na tija
Back
Top Bottom