Recent content by Boran Jakutay

  1. B

    DOKEZO Responded Tumeachishwa kazi kihuni na Global Publishers, wanataka kutudhulumu haki zetu, tufanye nini?

    Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho. Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri, nifanye nini au tufanye nini sisi wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers inayomilikiwa na Mbunge wa...
  2. B

    DAWASA tupeni majibu kama mmeanzisha mgao wa maji huku Kimara Bonyokwa

    Asante kwa kuturudishia umeme, asante kwa kuchukua maji. Kazi iendelee mpaka tunyooke. Kwa kifupi wananchi hatutakiwi kuwa na amani hata kidogo. Siku kadhaa nyuma tulikuwa tunalia suala zima la mgao wa umeme, lakini naona sasa hivi angalau kuna nafuu. Lakini sasa, limekuja suala la maji, kwa...
  3. B

    UPDATE: Aliyedaiwa kuua watu na kusababisha Mechi ya Ubelgiji vs Sweden kuahirishwa, auawa na Polisi

    Mtu huyo aliyetajwa kama Gaidi, aliwapiga Risasi Raia wawili wa Uswidi na kumjeruhi mmoja kabla ya mechi ya Ubelgiji ya kufuzu #Euro2024 dhidi ya Uswidi jijini Brussels ameuawa wakati tahadhari ya Ugaidi ikitangazwa kwa kiwango cha juu zaidi Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Annelies...
  4. B

    Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    hilo ndio tatizo la kukaa kwa shemeji, kila kitu unaona uzushi hujishughulishi
  5. B

    Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    Tazama hii video uone namna baunsa wa Diamond alichomfanyia polisi.
  6. B

    DAR: TANESCO mnachotufanyia mtatuunguzia vitu

    kwahiyo huo mfumo ni wa Dawasco au wa Tanesco?
  7. B

    DAR: TANESCO mnachotufanyia mtatuunguzia vitu

    Sijui kuna tatizo gani, lakini leo Ijumaa Septemba 8, 2023, huku ninakoishi maeneo ya Kilungule A, Kimara, Dar es Salaam, umeme umekatika zaidi ya mara nane. Tangu asubuhi Tanesco wanafanya zoezi la kukata na kuwasha umeme, sijui wana mpango wa kutuunguzia vitu vyetu ambavyo tumenunua kwa...
  8. B

    Wahusika wekeni taa za kuongoza magari Ubungo Kibo, maisha ya watu yapo hatarini

    Ni takribani mwezi mmoja tangu itokee ajali ya lori la mafuta Ubungo Kibo, Dar es Salaam iliyobabisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo sambamba na hasara kwa wafanyabiashara. Ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2023, iliharibu pia miundombinu ya barabara kiasi cha kuvunja taa za kuongozea magari...
  9. B

    Tabora: Daktari feki jela miaka 15 kwa kusababisha kifo

    Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo. Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
  10. B

    Chemsha Bongo

    Kama macho yako yanaona vizuri, nioneshe watu saba na paka katika picha hii.
  11. B

    KATAVI: Wananchi walia upandishwaji nauli kiholela

    Wanachi mkoani Katavi, wameiomba Serikali kuingilia kati tabia ya madereva wa vyombo vya usafiri mkoani humo kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Tabia hiyo ya kupandisha bei inadaiwa kuanza siku za hivi karibuni baada ya serikali...
  12. B

    Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na gari ya mzigo aina ya Scania majira ya saa nane usiku katika eneo la Mapatano, Kata ya Mbwewe, Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Waliofariki katika ajali hiyo ni...
Back
Top Bottom