Kazi za Mbunge ni:-
1. Kushiriki kutunga sheria za nchi
2.Kuwasilisha mahitaji ya jimbo lake bungeni
Mbunge anapimwa kwa factor hizo hapo juu.
ikumbukwe pia kuwa moja ya kazi za serikali ni kushughulikia mahitaji yaliyowasilishwa na mbunge bungeni...
Sasa labda mleta taarifa utuambie kuwa...
Lowassa peke yake ndo ana kashfa kwny timu ya UKAWA, na kashfa zake CCM wameshindwa kututhibitishia kwa kumuwajibisha,wengine wote kuanzia babu Duni na wengine hawana mawaa na siku zote wamekuwa wakihubiri haki na kutaka katiba bora inayosimamia misingi ya utawala bora.
Itakuwa ngumu sana kwa...
Wadau habari za humu, nipo na mpango wa kufuga mbuzi pembeni ya mji wa Dar Es Salaam. Kuna mdau yeyote mwenye clue ya hii shughuli?
Wapi naweza kupata mbegu nzuri za mbuzi wa kienyeji wa kuanzia?
Jaslwas...angalia hii link http://youtu.be/tlOPJ3ffgl8
Hapo kikwete mwenyewe kakiri TEMBO WANAPUKUTIKA TANZANIA....wewe unaleta blahblah zisizo na kichwa wala mkia. Mnadhani kila wanachosema wazungu ni jealosy, usikurupuke bro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.