Recent content by bora uhai

  1. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota coaster 1HDT FTE 38,000,000

    Coaster mayai Engine 1hdt-fte umeme Manual transmission Gear box safi Engine safi Year of Manufacture 2000 Location: Mbeya Price: 38,000,000 0717184353 haina dalali
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wabobezi migogoro ya kazi naomba msaada

    MKATABA Sheria inasema nini kama mfanyakazi hakuwa na mkataba na mgogoro ukatokea SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI KIFUNGU CHA 15(6) kinasema hivi Ikiwa katika mwenendo wowote wa kisheria, mwajiriatashindwa kutoa mkataba wa maandishi au maelezo ya maandishiyaliyotolewa kwa mujibu wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Andika vitu vifuatavyo japo kwa uchache zigawe idara muhimu mlizonazo kutegemea hotel ni ya nyota ngapi 1. Food and beverage department kwenye hii idara unaweza muambia boss utashauri hotel iwe na a. BREAKFAST PACKAGE yani mteja anaweza toa 30,000 anapata kila kitu kwa mtindo wa bufee kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    hapa kuna mambo 2 umeyaweka pamoja yani misconduct na incapacity sasa kwenye mambo ya mwenendo mbaya ikiwa kama mambo ya utoro,wizi,kupigana,kudhaharau viongozi uzembe uliotukuka hapa kuna mambo ya kufata mfano kupewa barua onyo likizidi zaidi ya mawili sasa utapewa barua ya kujieleza kuhusu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    yani anayewashauri hao jamaa atakutwa na kitu kibaya sana kama wafanyakazi wataamua kwanza termination haipaswi kufanyika mtu akiwa likizo kingine hata wakisema wanapunguza watu au wanabadilisha uendeshaji wa kazi kuna utaratibu wa kufata soma huko juu nimeweka fresh tu kama hawakufata utaratibu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    Ukipewa termination yoyote ile lazima iwe na sababu iyo sababu iwe halali na ifate utaratibu hapo naamini tupo pamoja sasa ipo hivi Unfair termination without reasons. Compensation for unfair termination. Muajiri wako hana sababu na anapaswa kukulipa fidia ya miezi 12 kwa kufanya hivyo case...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Fixed contract vs early termination, Haki za mwajiliwa ni zipi?

    Kuna site inaitwa Home - TanzLII hapa utapata case mbalimbali za kuhusu ajira zilivyoamuliwa yani utajifuza mambo mengi sana turudi sasa kwenye swali kupunguza wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 marejeo ya 2019 na mwenendo bora wa ajira ya mwaka...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu Mwajiri kulazimisha nivunje mkataba

    Serikali ilitoa amended minimum wage order yani kwamba sekta tofauti binafsi kuongeza kima cha chini cha mshahara kutoka kile cha mwanzo mfano sekta ya madini ilikuwa 450,000 ikafika mpaka 500,000 Sasa hapa kabla ya kwenda mbele ni vyema kufahamu upo sekta ipi ili ufahamu iyo sekta inapaswa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kusoma masters ni kuanzia GPA ya ngapi kwa bachelor graduate?

    kwanza inategemea na chuo UDSM kama huna first class na second class hawachukui na ukiwa na 2.8 inatakiwa uwe umefanya kazi muda usiopungua miaka 5 ila kwa baadhi ya vyuo ukiwa na 2.8 umeenda bila shida wala masumbuano na manyanyaso
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, bado GPA kali ina msaada?

    GPA ina umuhimu sana japo sio kigezo cha kuweza pata ajira ebu pata picha ushapata kazi alafu idara yako unachagulia ukasome masters unalipiwa na kampuni kila kitu unakuja kukuta gps haisomi kabisa na ukitoka huko unapanda cheo pata picha tu Tuje kwa suala la ajira makampuni mengi yana kitu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ipi ni course nzuri kati ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics na Bachelor of Science in Economics and Finance

    MBA hii anasoma yoyote tu ila inategemea na Chuo ila nitazungumzia UDSM wao mara nyingi MBA wameiweka makundi 3 MBA ujikite na Accounting, HR au Marketing japo vigezo vyao vikubwa GPA ya undergraduate iwe vizuri mara nyingi wanachukua first class na second class ila kama ulikosa hizo zote...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ipi ni course nzuri kati ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics na Bachelor of Science in Economics and Finance

    MIMI nimereview kwa uchache tu ila niamini mimi asilimia 85% ya kazi za HR zinafanywa kwa kutumia izo module kwa kiasi kikubwa na ingependeza sana pia na wewe ukaja na uchambuzi wa kusema kwanini haiwezekani Angle kubwa za HR : Compensation and benefits hapa kuhusu payroll, statutory...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ipi ni course nzuri kati ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics na Bachelor of Science in Economics and Finance

    katika course bora za biashara bora kabisa basi BBA inabakia kuwa course bora kabisa tena hakikisha unasoma ile general isiyo na specilisation kabisa BBA inabeba module zifuatazo ambazo utaweza kufanya kazi kada tofauti tofauti 1. Business Environment hili somo litakufanya ujue internal and...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kozi yenye uwanda mpana kati ya Shahada ya Uchumi au Biashara na Utawala?

    katika course bora za biashara bora kabisa basi BBA inabakia kuwa course bora kabisa tena hakikisha unasoma ile general isiyo na specilisation kabisa BBA inabeba module zifuatazo ambazo utaweza kufanya kazi kada tofauti tofauti 1. Business Environment hili somo litakufanya ujue internal and...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    kaka passo wametoa new model iyo inaitwa passo settle ina cc 1290 hivyo wameboresha kidogo
Back
Top Bottom