Je, kusoma masters ni kuanzia GPA ya ngapi kwa bachelor graduate?

kwanza inategemea na chuo UDSM kama huna first class na second class hawachukui na ukiwa na 2.8 inatakiwa uwe umefanya kazi muda usiopungua miaka 5 ila kwa baadhi ya vyuo ukiwa na 2.8 umeenda bila shida wala masumbuano na manyanyaso
 
Sahihi kabisa nakazia hapa!
 
Baadhi ya vyuo wanataka Undergraduate (bachelor degree) walau uwe umepata GPA ya 2.8 +, vyuo vingine wanataka walau uwe na GPA 3.0 +
Sio 2.8 Bali ni 2.7
2.7 hii ni Lower second class ambayo ndio kigezo minimum cha Tanzania commission for university Kwa mtu anayetaka kusoma masters Kwa chuo chochote Tanzania though Kuna baadhi ya VYUO vinavigezo vyao kulingana na kozi husika
 
Back
Top Bottom