Recent content by boobookitty

  1. boobookitty

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Mimi kama mtanzania naomba tuwe pamoja kuiomba serekali ifunge mipaka watu kwenda nchi zilizoathirika kwa ukubwa kama basi kufunga kabisa imeshindikana. Na ukiangalia case zote za ugonjwa zimepatikana within this march. Nimeona bado watu wanasafiri sana kwenda china. Please serikali isikie kilio...
  2. boobookitty

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

    Habari zisizokuwa na uhakika, amepatikana mzungu mwenye corona moshi.
  3. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi dada wa kazi. Ameondoka kwangu imekuwa kama msiba

    Story ya naipenda jumamosi yangu imeishia wapi?
  4. boobookitty

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Naomba kufahamu namna gani nitapata namba ya kitambulisho haraka iwezekanavyo ikiezekana baada ya week mbili kwani nina safari ya ghafla na habari nilizopata inabidi usubiri baada ya mwezi kupata namba ambayo itaniwezesha kupata passport ya kusafiria. Jibu...
  5. boobookitty

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Majjizo kuzaa na Salma Msangi

    Kama ni kweli majizzo kazaa na Salma Msangi basi naomba niseme Majizo kashindikana tabia, Maskini Lulu na uzuri wote ule bado mwanaume kaenda kuzaa na mtu mwingine
  6. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kenya

    Naombeni sifa za wanaume wa kikenya katika mapenzi!
  7. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wanao endaga club

    Club raha bwana.. Tena upate handsome boy mmoja anaejua kucheza mbona hatari
  8. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Mbona haiendelea
  9. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    naacha kufanya kazi nasoma story hatari
  10. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread: Walioachwa tuliwazane hapa

    Sio kuachwa tu. Miminniliachwa bila taarifa moto ulizimika ghafla [emoji23]
  11. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanaume wa kibongo hawajui mapenzi

    Kuna wanaume mnavyolalamika wanawake viuno vigumu oh hatujui mapenzi na wanaume pia wapo. Unakuta mwanaume wakati wa show hatoi ata sauti kimya kama bubu. Ni kuingia na kutoka.. Kuna wanaume bwana kabla ya tukio ataandaa wine mnalegea, sauti sasa za pale kati. Utapigwa deki utaita hadi mizimu...
  12. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na sifa zao katika mahusiano unaweza sema mwanamke huna nyota

    Mia jaman njo unywe balaire
  13. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    dah kijana F.. Aliniliza mimi nkaona dunia chungu. Kila nkijaribu kumuacha wapi nkikumbuka dushe narudi mwenyewe. Imani kwa wanaume imepotea
  14. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Baba wa watu maskini
  15. boobookitty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanajua mapenzi ila hawajui kukata kiu ya mapenzi

    Haaahaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom