Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Kadri navyozeeka nimezidi kujifunza kusamehe in advance (hata kabla mtu hajaniomba msamaha). Kuna watu anakuumiza, ila na yeye anaumia anajuta ingawa hana la kufanya na hata ukimwambia nimekusamehe, bado kuna muda kwenye maisha yake ataumizwa kwa alichokufanyia ie haishi kujihukumu. Na kuna mtu anakuumiza ila hana habari kabisa, ana amani moyoni mwake na hakumbuki chochote, ukimsamehe haya usipomsamehe sawa tu pia, wewe haribu maisha yako kisa kakuumiza mwenzio hana hata habari. So no matter what, naombaga Mungu anipe uwezo wa kusamehe, sio kila mtu atajinyima furaha ya maisha yake ili kukupa wewe furaha, samehe tu kwa ajili ya amani ya moyo wako. Huyo baba Mungu amtie tu nguvu, I hope ana watu karibu yake watakaomsaidia kukubaliana na hali kwa haraka, sio kitu rahisi kama tunavyokisoma. Ndio wengine wanaishiaga kuumiza na wengine pia kucompensate maumivu waliyonayo au ndo wale anakwambia simuamini mwanamke wala sitopenda tena .
Ah ooooooh nimeshusha pumzi ndefu, kutoa msamaha wa dhati na kuupokea ukweli wengi inatushinda Mungu amsaidie mbaba wa watu
 
Nimemwambia sent kule mwanzoni kuwa mwezi wa NNE sio karibu Mungu amtangulie, coz najiuliza kwa nini huyu anaempenda waliachana mwanzo ni??? Huyo mdada wa hiyo stori yako hakuchizi kweli?
Wewe acha alikuwa kama mwehu fulani kibaya sec ilikuwa mjini na baada ya mimba akarudi kijijini kwa baba yake alichapika vyakutosha akaokata ghalasa sahizi wameachana hivyo sahizi yupo kwa kwao na watoto wake
 
sent umeamua jama\bo zito na gumu sana maishani kwako ! la muhimu naomba jinyenyekeze kwa Mungu wako na ikiwezekana omba msamaha wa haja kwa mume wako wa ndoa kwa kumuumiza!(KIUKWELI INAUMA SANA )

ila bas ishi na baba watoto kwa unyenyekevu wa hali ya juu !inawezekana usiaminike tena !pia mamy usitoke tena ndoani !maana umpendaye ushamrudisha zizini !

nikuatakie KILA LA HERI !
 
Yaani umevunja ndoa mbili unashangilia na una amani kabisaa. Subiri na wewe utafanyiwa hicho hicho ulichokifanya. Ni zinaa tuu hiyo kwa nyie wote wawili huyo mwanaume na wewe. Hiyo dhambi itawatafuna taratibu sana.
 
Ah ooooooh nimeshusha pumzi ndefu, kutoa msamaha wa dhati na kuupokea ukweli wengi inatushinda Mungu amsaidie mbaba wa watu
Sio rahisi kabisa aisee, ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Mungu akamfunge mikanda ya sirini akamtie nguvu, akampe faraja na tumaini la kuona kuwa bado anaweza akawa na furaha tena. Huyo baba amejeruhika na kuaibika kupita maelezo, ila Mungu ni mwema sana
 
H

Hata mimi mke wangu wa ndoa kuniacha kwa staili hii hii naona sasa naye kaondoka kifungoni kama huyu. Kumbe...maisha ndivyo yalivyo uzi
huu japo kwa baadhi ya watu unaudhi sana kwa baadhi unaweza kuwa faraja kwani unatupa ujumbe kuwa kilio cha wengi ni sherehe duh
Pole sana mkuu..i feel you're pain''..ndo maana OJ Simpson..aliua..imagine inauma kiasi gani mtu unayedhania "she is a love of you're life"kumbe anaipeleka kudukuliwa na libwege flani!kwa nn hakukuoa kabla hujampotezea mbaba wa watu love investment kama hii?You're soo selfish indeed..na wewe ni katili mno!na ni sawa tu na cold blood killer!Malipo ni hapa hapa duniani..Karma will eat you alive!!
 
Wewe acha alikuwa kama mwehu fulani kibaya sec ilikuwa mjini na baada ya mimba akarudi kijijini kwa baba yake alichapika vyakutosha akaokata ghalasa sahizi wameachana hivyo sahizi yupo kwa kwao na watoto wake
Maskini weeee, km namuona kajitwisha mikono kichwani huku anatokwa machozi, pole yake aisee
 
sent umeamua jama\bo zito na gumu sana maishani kwako ! la muhimu naomba jinyenyekeze kwa Mungu wako na ikiwezekana omba msamaha wa haja kwa mume wako wa ndoa kwa kumuumiza!(KIUKWELI INAUMA SANA )

ila bas ishi na baba watoto kwa unyenyekevu wa hali ya juu !inawezekana usiaminike tena !pia mamy usitoke tena ndoani !maana umpendaye ushamrudisha zizini !

nikuatakie KILA LA HERI !
Asante le madame kwa neno lako zito amuombe mumewe msamaha wa haja
 
Sio rahisi kabisa aisee, ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Mungu akamfunge mikanda ya sirini akamtie nguvu, akampe faraja na tumaini la kuona kuwa bado anaweza akawa na furaha tena. Huyo baba amejeruhika na kuaibika kupita maelezo, ila Mungu ni mwema sana
Yaani hasa pale pa kulea tumbo Hlf Leo unaambiwa sio lako na naenda kwa mwenye mtoto ukweli ni Mungu tu amsaidie
 
Back
Top Bottom