Recent content by Bontowar

  1. B

    Waziri Mwambe: Bei ya Mafuta ya Kula imepanda kutokana na ongezeko la bei kwenye Soko la Dunia iliyosababishwa na Corona

    lo suala la vitu kupanda bei kila siku sijui mnasaaidiaje kama mafuta ya kula mepesi na mazito unga wa ngano Makampuni yote yanapandisha bro kwa pamoja Kuna kitu gani Serikali kimya. Tunaomba ufumbuzi
  2. B

    Kampuni ya Aifola yazidisha uchafu Ilala

    Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS Ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haijachikua taka mpaka zinatoka funza. Hivi wahusika wa serikali mpo wapi au mpaka mtumbuliwe? Afisa afya haonekani hapiti kukagua au mikataba ina harufu ya...
  3. B

    Kampuno ya AIFOLA yazisha uchafu ILALA

    Wahusika wapooo
  4. B

    Kampuno ya AIFOLA yazisha uchafu ILALA

    Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haujachikua taka mpaka zinatoka funza Hivi wahusika wa serikali mpo wapi Au mpaka mtumbulie afisa afya haonekani hapiti kukagua Au mikataba ina harufu ya...
  5. B

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    RAIS MAGUFULI TANESCO HAWATAKI TUKAONA HABARI YA MCHANGA. Wamekata umeme ILALA na wakati wanajua Leo siku muhimu ya taarifa ya MCHANGA wa madini Wanamaanisha nini?
  6. B

    TCRA tunaomba ishungulikieni Airtel kwa huduma mbovu

    TCRA fanyeni kazi yenu hawa jamaa wanazingua saaana hela yetu tunawapa wakati huduma ya mtandao wao ni mbaya kuliko maelezo. Tunaomba muwafuatilie tena siku hizi hawafai kabisa.
  7. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    nasikia kuna figisu kwenye symbion na IPTL Symbion wanaiuzia umeme Tanesco $ senti 6 wakati IPT $ senti 32 au ziada sasa huu ni wizii mkubwaaa MH, Raisi Magufuli vipi hili Jipu
  8. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    REA 3% Hatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  9. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Cost TZS 65,573.78 VAT 18% TZS 11,803.27 EWURA 1% TZS 655.74 REA 3% TZS 1,967.21 TOTAL TZS 80,000.00 Huu ni wizi
  10. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Ulisomea kuwasaidia wizi pia hakuna alitaka kujua kama unaelimu we ni mchicha tu
  11. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    MKuu huyu Engeez ni jipu katumwa Mimi nawalaumu pia TANESCO kuna kupindi waliomba kupandisha Umeme na sevrcice charge ni mzigo pia VAT ni mzigo mkubwa Sasa REA (3%) + EWURA (1%) = 4% hii ingekuwa ni ya tanesco peke sawa lakini tunawapa watu ambao hawana kazi na faida kwetu, sababu wabunge...
  12. B

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Nyie Jupu TANESCO Na jana mmetuweka bila UMEME nyie kweli majipu Magufuli Tumbua hawa
  13. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    kwani wewe hoja yako uliyotumwa na IPTL ni ipi?
  14. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    wewe inaonekana umetumwa kuna mtu humu anatakujua EWURA na REA inafanya kazi gani? hakuna alikuomba jipu weweeeee Kwani hao wabunge si majipu ukiwa na weweeeeeeee jipu kubwa watu humu wanaongelea maisha maisha yalivyokuwa magumu kwa ajili ya Majupu na mafisadi wenzako
Back
Top Bottom