Recent content by bonna

  1. bonna

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    unapatikana kwa namba gani? naomba ni pM namba yako mkuu. nataka kuagiza kitu
  2. bonna

    Kwanini engine za Toyota zenye herufi zinazoishia FE zinadumu sana (roho ya paka)

    Siri ni moja : SIMPLICITY. ni engine flani hivi very simple, cast iron block n.k lakini hazina mambo mengi.. gari imegoma kuwaja unajua kabisa angalia pump kama nzima angalia plugs kama zinatoa spark kama ziko poa basi gari haina mafuta hio [emoji23][emoji23] umemaliza
  3. bonna

    Nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono

    Mkuu hata hapa bongo hii mashine unatengenezewa.. ila nimeona bajeti yako 2m kidogo nikarudi nyuma, engine yenyewe inaenda laki 6, hujaweka pulleys, frames, plates (majembe) nk labor charge apo itabaki kiasi gani fikiria
  4. bonna

    Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil

    Kama hamna leakage mahali.. basi hio Oil inaunguzwa pamoja na mafuta... Piston ringi za kuangalia hizo... kuna chances gari yako inatoa moshi wenye weusi angalia vizuri
  5. bonna

    Kubadi engine kwenye Nissan Navara kuweka engine ya Toyota Hilux

    Huu mwaka wa pili, Jambo la msingi sana sana.. nasisitiza sana ni uwe unafahamu nini kinachofanyika.. mimi nilifanyia hii project home nikiwa najua kila kitu hatua kwa hatua.. gharama zote za ufundi hazikuzidi laki 8, ofcourse vingine nilikua nafanya mwenyewe. Engine ya 3s pale Ilala ni 2.1mil...
  6. bonna

    Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Duuh.. umetumia gharama sana... naungana na mchangiaji mmoja hapo juu, Kuna 90% chance tatizo lipo kwenye fuel system, angalia Pump na fuel system, kama uliwahi kubadilisha filter angalia zile O rings zinazofungwa kwenye banju bolts za filter.. kama walifunga zile za kopa basi zitakua zimeua...
  7. bonna

    Kubadi engine kwenye Nissan Navara kuweka engine ya Toyota Hilux

    Inawezekana.. nimefanya kitu kama hicho, nimetoa engine kutoka kwenye Nissan hardbody d72 nikaweka engine ya toyota 3s na gari iko njema sana.. nimeshasafiri nayo kabisa
  8. bonna

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Mkuu.. naomba hizo motion sensor aisee.. na Diodes kama zipo.., niko tayari kukueleza project yangu na imefikia hatua gani, please please
  9. bonna

    Gari yangu inaoverheat ikiwa kwenye foleni au low speed

    Lol... ndo mana nasema inahitajika akili ya ziada, Ukiwasha gari saa sita mchana si engine ilikua imepoa thermostat inakuaje wazi bro?? Thermostat itafunga wakati umeliwasha namna ambayo inatakiwa kua ILA baada ya kutembea kidogo hakuna wakati mwingine wowote katika safari yako ambapo ETI...
  10. bonna

    Makanisa Nchini Mjitafakari

    Na mtu akisema hatoi... Atafanywaje... hatoi sasa kaamua..
  11. bonna

    Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    Hii ni Sienta iliyochangamka, Rumion ukikaa kwa mbali haina tofauti na Passo au Sienta
  12. bonna

    Kwa hawa Madaktari huko mbeleni tutapata tabu

    Mbona Mtoa Mada ameweka kila kitu wazi kabisa? sijui kwanini watu wana vichwa vigumu kuelewa... Ngoja nimsaidie Kwa nchi yetu.. Tanzania, English ndo lugha inayotumika kufundisha, vitabu vyote vipo katika lugha hii, machapisho n.k hivyo kitendo cha kukutana na mtu anaejiita mtaalamu katika fani...
  13. bonna

    Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

    Kinachopanda thamani ni Ardhi sio nyumba, Hao wanaonunua hio nyumba Kariakoo kwa Bil 5 wataivunja kisha watajenga ya kisasa zaidi. Kujenga ni kuzika pesa
  14. bonna

    Hesabu ya maisha, vipi kwa maamuzi haya nimebugi au iko poa?

    Nadhani Mkeo ndie Yuko sahihi, 1: kuhonga 7m ili uanze kulipa kodi ya 200k from 400k sio hesabu kabisa hahaha, gawanya hio 7m kwa laki 2 ambazo unaona ume save, utapata miezi 35. ukimaliza hii ndo utaweza kusema umeokoa gharama... tofauti na hapo laki 2 ulo save kodi ushaihonga. 2:kujenga ni...
Back
Top Bottom