Recent content by Boniface Mwankenja

  1. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania KUTOKWA NA JASHO KILA MARA.

    Habari wanajamii nyoote.. Naombeni ufafanuzi kidogo, hivi ni kitu gani kinamfanya mtu kutoa maji maji kama jasho wakati wote na mwili mzima,, Maana nimejaribu kudadisi lakini sijapata majibu na huyu mtu huwa anatokwa na jasho kila wakati hata awe kwenye ubatifi kiasi gani.. Sasa je! Ni ugonjwa...
  2. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magari ya Jeshi la Kenya ukielekea Bukoba kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko

    Mungu huwa hata hawatupi watu kama hawa,,maana wanajitoa kila mara inapowalazimu. #SafeJourney
  3. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Barabara juu ya bahari kupunguza foleni Dar, kuanzia Aga Khan hadi ufukwe wa Coco

    Kampeni za uchaguzi mwakani zimeshaanza na ndiyo maana miradi yote inayofanywa sasa Kuisha kwake ni 2015 maana watasema tumejenga barabara ya mabasi yaendayo kasi, daraja la kigambon achilia mbali la salender Pamoja na boti ambayo itafanya safari kati ya bagamoyo na Dar es salaam..
  4. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya kati ya gari ya magereza na lori

    Rest In Peace all.
  5. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania 'Uporaji Barclays Bank haukuwa kweli!'

    Mipango ya kumshirikisha mwanamke sio issue, Mumejitoa muhanga kiujinga ujinga.
  6. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya uelekeo wa barabara katikati ya jiji la dar es salaam kuanzia siku ya tarehe 28/04/20

    Dhaaaaah.... Hizi ndizo adha za hapa mjini.
  7. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa siku ya leo

    Ndege zipo hivyo mm sina wasiwasi kufika mbeya.
  8. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Alex msama apata ajali

    Get well soon
  9. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Hili daraja la Dumila hili!

    Imenilazimu kupita kilosa baada ya kukaa kwenye foleni kwa muda wa masaa mawili, serikali yetu hii sijui inatupeleka wapi sasa.
  10. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kudhibiti matumizi ya Loud speaker katika nyumba za ibada

    Hii kweli ni kero maana mwenyewe niishiko kelele za misikiti haziishi yaani ni kuanzia saa mbili usiku mara saa nane usiku tena saa kumi yaani kiukweli tunaomba serikali iliangalie hili kwa jicho la tatu.
  11. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Macho ya Bundi

    Tupia mambo ww mdada.
  12. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa masikini sio makosa. Ukifa masikini ni makosa yako mwenyewe bill gates

    Kama umepata mshukuru MUNGU lakini sio kuwa sema walio masikini.
  13. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Basi la Hood lapinduka.

    Get well soon all majeruhi.
  14. Boniface Mwankenja

    JamiiForums Tanzania Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

    Watumiaji endeleeeni na kutumia na wabebaji endeleeni kubeba na mshahara wake mtaupata mwisho.
Back
Top Bottom