shalua mpanda
Member
- Dec 29, 2013
- 28
- 4
Ajali mbaya imetokea muda mfupi uliopita maeneo ya Mkenge wilaya ya Mkuranga kati ya gari ya magereza iliyobeba mfungwa ikitokea Kimanzichana kuja Mkuranga mjini,askari magereza watatu wamefariki dunia na mfungwa mmoja amefariki pia.Chanzo cha ajali ni dereva wa gari ya magereza kuhama eneo lake na kulifuata lori upande wake.Dereva wa gari ya magereza amepata majeraha kidogo.