Recent content by boni200

  1. boni200

    Watendaji wa mtaa walindwe na kuthaminiwa

    Nimekua nikifuatilia sana majukumu ya watendaji wa kata na mtaa hasa wa mtaa wana changamoto kubwa sana hasa waliopo Dar es salaam. Sikatai kuna wengine hawana maadili lakini wengi wanakumbana na changamoto sana hasa kwenye kazi zao. Leo nitazungumza kuhusu mauziano ya ardhi hapa Kuna ulazima...
  2. boni200

    Ngao ya Jamii, Tanzania: Simba SC na Yanga SC, nani kuibuka mshindi?

    Yanga 1 simba 1 mshindi kwa penati goli litaanzwa kufungwa na Yanga simba itasawazisha baadae ya hapo matutacna Yanga atshinda simba penati atakosa mbonde na mwanjali huku Yanga Dante akipaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. boni200

    Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Na acacia watakuja kuwadai tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. boni200

    Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

    Thanjs Sent using Jamii Forums mobile app
  5. boni200

    Anaefahamu kuhusu shirika la williwos international

    Thanks Sent using Jamii Forums mobile app
  6. boni200

    Anaefahamu kuhusu shirika la williwos international

    Acha ujinga uwe unafkria endelea wewe kama tajiri. Ukouko bajki na utajiri wako sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. boni200

    Anaefahamu kuhusu shirika la williwos international

    Baada ya Jana kuweka tangazo Nina tafuta kazi, Jana usiku Saa moja nimepigiwa Simu toka williwos international nikiambiwa nafasi za kazi hakuna ila volunteer zipo na nimembiwa niende arusha ndiko ziliko headquarters zao anaefahamu kuhusu shirika hili Sent using Jamii Forums mobile app
  8. boni200

    Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

    Wapi hiyo na ekari shi ngapi na ni shamba LA nini
  9. boni200

    Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

    Kawaida mkuu kambi popote Sent using Jamii Forums mobile app
  10. boni200

    Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

    Hat kama jilo pouwa tyu popote kambi
  11. boni200

    Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

    Natafuta kazi yeyote nina elimu ya diploma maendeleo ya jamii kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane,niko tayaribniangaliwe uwezo wangu ndipo nifanye kazi ndipo tukubaliene kazi aliye tayri namba zangu ni 0767960684, bonmaknza@gmail.com, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom