Natafuta kazi yoyote nina elimu ya diploma ya maendelea ya jamii

Natafuta kazi yeyote nina elimu ya diploma maendeleo ya jamii kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane,niko tayaribniangaliwe uwezo wangu ndipo nifanye kazi ndipo tukubaliene kazi aliye tayri namba zangu ni 0767960684, bonmaknza@gmail.com,

Sent using Jamii Forums mobile app
Katafute jembe ulime hzo kazi kama ni kijana wa kiume hazipo sikuhz tunawapa wadada tena na wenyewe baada ya kuonesha weredi sana.

Hakuna mahali utakuja pewa kazi kama zawadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9ac012f688e36cd16d4dcb21facbfdf2.jpg
3bbe6a451079045953169b0c8290076c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom