Anaefahamu kuhusu shirika la williwos international

Anaefahamu kuhusu shirika la williwos international

boni200

Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Baada ya Jana kuweka tangazo Nina tafuta kazi, Jana usiku Saa moja nimepigiwa Simu toka williwos international nikiambiwa nafasi za kazi hakuna ila volunteer zipo na nimembiwa niende arusha ndiko ziliko headquarters zao anaefahamu kuhusu shirika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnao Mpa Hongela Mnajua Jamaa Hajapat Kaz Kapat Nafac Ya Kujitolea
Acha ujinga uwe unafkria endelea wewe kama tajiri. Ukouko bajki na utajiri wako sawa
IMG_20170724_182805.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga uwe unafkria endelea wewe kama tajiri. Ukouko bajki na utajiri wako sawaView attachment 549922

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu najua ni mgeni usipanic hii ndo Jamii Forums majibu ya Kejeli na Matusi ni Kawaida na Jamaa hajakujibu Vibaya cha Msingi Usiweke Picha zako nakushauri U delete hiyo Post yako Hii si Instagram au Facebook Ndiyo maana tuna ID fake.
 
Mkuu samahani hyo NGO yaitwa willows international na si kama ulivyoandika hapo juu
 
Back
Top Bottom