Recent content by BongoLogik

  1. BongoLogik

    Je, unauza nyumba, kiwanja au kupangisha nyumba? Tutakutafutia wateja

    ikiwa ni kiwanja mnatoza gharama kiasi gani?
  2. BongoLogik

    Nitapataje PUK ili ku unblock airtel simcard yangu?

    mkuu hiyo namba 100 inazingua sana ni ngumu kupata watu wa customer care, nimejaribu sana sijapata kama unayo namba nyingine ya customer care ya airtel tafadhali nisaidie.
  3. BongoLogik

    Nitapataje PUK ili ku unblock airtel simcard yangu?

    Sina kumbukumbu yoyote ya PUK, jana nimetoroka kazini nikaenda mlimani city nikakuta bonge la nyomi, nikipiga customer care haipatikani! Kuna jamaa yangu kaniambia ipo jinsi ya kupata PUK bila kwenda kupanga foleni au kuwasiliana na customer care ila kasahau, kwa anaejua naomba anisaidie.
  4. BongoLogik

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    poa mkuu nitakucheki kwenye phone kwa mawasiliano zaidi
  5. BongoLogik

    Kiwanja kinauzwa Luguruni Makondeko

    Kuna umbali gani kufika kwenye kiwanja ukichepuka kutoka morogoro road?
  6. BongoLogik

    Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

    kuna maendeleo mengi ya kiteknolojia yaliyopo sasa yasingeweza kuaminika kama yanawezekana kwa watu wa zamani
  7. BongoLogik

    Rwanda bought TL-50 air defense missiles from China

    Hata idd amin wakati anapigana vita na Tanzania alikuwa na silaha advanced sana kuzidi Tz lakini uliza kilichompata!!!
  8. BongoLogik

    ACT-Tanzania chapata pigo kwa kukosa hadhara ya kuwahutubia

    ACT=Association of Cowards and Traitors.
  9. BongoLogik

    Kikwete amteua Prof. Peter Msolla kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais

    bila shaka prof atamshauri dr kutumia mikasi ya ku- prune michongoma kwa ufanisi zaidi!
  10. BongoLogik

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    mimi nadhani kwa mkristo haijalishi nani kachinja ila inategemea ni maneno gani yananuiziwa wakati wa kuchinja kama yanakwaza au la imani ya kikristo! je waislam wanaweza wakatuambia ni maneno gani (na maana yake) hunuiziwa wakati wa kuchinja ili tuweze ku judge kwa haki?
  11. BongoLogik

    Serikali kutumia nguvu ikibidi suala la gesi Mtwara

    ccm kwa muda mrefu wamekuwa wakinufaika na mbinu yao ya kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini,ukanda(ukabila) na hata itikadi za kisiasa ila wanapoelekea kwa kuendekeza ubabe wao na kuwaona wananchi waliowapa madaraka ni vilaza na watu wa kuburuzwa tu bila kujali hoja na maslahi yao, SASA...
  12. BongoLogik

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    sasa kama wizara ya elimu inaongozwa na mburula kama huyu, nini mustakabali wa elimu ya Tanzania? haya si majanga jamani!!
  13. BongoLogik

    Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

    hata kama miongoni mwao walikuwepo wanachama/wafuasi wa chadema ina maana hata chembe ndogo ya ufahamu wako inashindwa kukupa taarifa kuwa mkusanyiko ule haukuandaliwa na chadema na wala hakukuwa na matamko yoyote kutoka chadema!? sometimes unatia aibu kwa uwezo wako finyu wa kupambanua mambo...
Back
Top Bottom