Namimi nilikuwa natatizo hilo nimelitatua km inawezekana saa 2:30 usiku nitakuwa nyumbani nitakueleza chakufanya ukiwa na Remoti ya startimes.kuna njia mbili ukishidwa yakwanza nitakuambia yapili
Wanakigoma kuna ukweli kwamba zito 2005 na2010 aliwashawishi wampigie ubunge yeye ila urais wampigie kikwete pia kikwete naye hakuenda kupiga kampeni jimboni kwa zito
Wana Arsenal wenzangu tusimulaumu wengar kila kitu.mbele tunamashindano mengi uefa,ligi kuu,Fa ,bado timu za taifa kunasababu gani yakumpanga Sanchez km hayupo fiti?
Magaziti mengi yananukuu habari za viongozi,habari mhimu za vijijini km kilimo, manyanyaso wanachi, huko magerezani vyakula .zaidi wanaandika habari za mjini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.