Recent content by Bonge La Afya

  1. Bonge La Afya

    Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
  2. Bonge La Afya

    Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
  3. Bonge La Afya

    Madaktari bingwa na majina yao, kwenye mabano ni namna ya kutamka

    Moyo - Cardiologist (kadiolojist) Mfumo wa mkojo - Urologist (yurolojist) Ngozi - Dermatologist (dematolojist) Mifupa - Orthopedic (aw-thopidik) Ubongo - Neurologist (nyurolojist) Watoto - Pediatrician (pedriatrishan) Macho - Ophthalmologist (ofthamolojist) Meno - Dentist (dentist) Figo -...
  4. Bonge La Afya

    SoC04 Kutumia mifugo na mazao kulipia bima ya afya, njia hizi zitasaidia Tanzania kufikia lengo la Bima ya Afya kwa wote

    Mifugo na mazao kulipia bima ya NHIF na mikakati ya Tanzania kufikia lengo la bima ya afya kwa wote Imeandikwa na Bonge La Afya UTANGULIZI Njia rahisi na nafuu za kulipia huduma za afya ni nguzo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. Katika nchi nyingi za...
  5. Bonge La Afya

    Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  6. Bonge La Afya

    NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  7. Bonge La Afya

    Fahamu upimaji wa Virusi vya Corona Maabara

    Na Festo Donald Ngadaya Twitter, Instagram and Facebook @FestoNgadaya Mwezi wa kwanza mwaka huu shirika la afya la dunia (WHO) lilitanganza covid-19 kama janga la kidunia (global pandemic). Toka hapo kumekuwa na miongozo tofauti tofauti ya upimaji wa virusi vya corona maabara. Covid19 ni kifupi...
  8. Bonge La Afya

    Fahamu kuhusu Kipimo cha Malaria maabara BS/MRDT

    BS/MRDT: Umefika hospitali daktari kakusikiliza kisha kwenye fomu yako kaandika ukapime BS/MRDT unashindwa kuelewa ila kwa sababu unaumwa unaenda kupima. Hii BS/MRDT ni nini? Leo acha nikujuze. MRDT ni kifupi cha Malaria Rapid Diagnostic Test (kipimo cha haraka cha ugunduzi wa vimelea...
  9. Bonge La Afya

    Inakuaje mpaka mtu anapata kitambi?

    Katika kipindi hiki cha kukaa ndani watu wamepunguza mizunguko ambayo inasaidia kama mazoezi madogo madogo. Sasa leo naomba tujifunze ni namna gani mtu anapata kitambi, Kitambi ni nini hasa? Nitatumia njia ya input na output. Nimechagua mfumo wa input na output maana hiki ndio kinachotokea...
  10. Bonge La Afya

    Fahamu maana ya Herd immunity kwa kiswahili

    Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi. Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10, ikatokea umeingia ugonjwa unaoweza kuambukiza. ukawapata watu sita kati yenu, lakini hawa watu sita...
  11. Bonge La Afya

    Fahamu kuhusu Sensitivity na Specificity katika vipimo

    Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa kifupi hapa tunamaanisha usahihi wa kipimo. Sensitivity: Ni ule uwezo wa kipimo kugundua watu walio...
  12. Bonge La Afya

    Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini, Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha

    Mt 10:4 Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
  13. Bonge La Afya

    Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini, Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha

    Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha. Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
  14. Bonge La Afya

    Wakatoliki na Shule zenu sasa imetosha hebu kuanzia mwakani na nyie ' Jifelisheni ' ili Shule zingine nazo zing'ae Kitaaluma

    "Wakatoliki nyie na shule zenu" Mzee unatambua kama unaanzisha mjadala wa kidini? Muda ni sasa, Tumia ulichonacho, Fanya unachoweza.
  15. Bonge La Afya

    Mwanangu kapata DV 0, Je anaweza kuja kuwa mkuu wa mkoa siku za usoni?

    Pole kama haya matokeo yamekuhuzunisha na pia hongera kwani ado unaonekana mwenye moyo wa kutia juhudi zaidi na sio kukata tamaa. Kuhusu mwanao kuwa mkuu wa mkoa, Naweza sema machache kutokana na maono yangu Uongozi ni karama anayotujalia M/Mungu lakini karama hii hufa kama hakuna juhudi...
Back
Top Bottom