Recent content by Bonesmen

  1. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwa salama zaidi karibu na matajiri kuliko 'watanzania masikini' ambao kimsingi hawakumchagua

    Masikini ni mtu dhaifu sana, Kiakili na Kipesa pia kumshawishi ni virahsi masikini haaminiki
  2. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

    Mkuu kiranga vp JPM?
  3. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Bwana mdogo nae Amechoka sasa mana Kick zilikuwa kibao walau aonekane apewe u RC ila dizaini kama JPM kamvalia miwani ya mbao
  4. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Sio internet banking mkuu kuna hudum kama mbili ivi iyo uliyotaja ni costfull sana Yeye Aombe fomu ya kuruhusu kadi ifanye online transaction.
  5. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Iweke pesa mkuu kama elfu saba ivi watatoa kama elfu nne nafikiri huwez link card ambayo haina balance, Ikizingua Apo Rudi Crdb wakupe fomu ujanze Ya ku ruhusu ifanye miamala ya online, Mimi na recommend Bank ABC au Equity si wasumbufu
  6. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Hio Acc ina Hela? Mana kulink kuna kama 1.95USD wanavuta then itarudi
  7. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

    Unarudi nyuma asee kutokea 30 na kitu ivi
  8. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

    Hahahaha Okwi na 26, Ndio yale yale diamond na kukomaa kote kule 27
  9. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Dr. Kipilimba atakuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa au Usalama wa Magufuli kisiasa?

    Idara imezidi kugubikwa na Siasa zaidi
  10. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Kila Mkuu wa Mkoa wapitie mafunzo,

    Mkuu si anachagua ma Professor bna
  11. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, nataka nikawashtaki Tigo na Tatu mzuka

    Mkuu hii kero sio wewe tu mimi kuna Hawa Vichwa Maji BIKO sijui ata namba yangu wametoa wapi wanakera sana
  12. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Mafundi Wa umeme msaada

    Solved
  13. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wamama ni wahanga sana wa Makanisa?

    Mkuu hapana wala hashidi kwenye vigodoro ila nimemwambia Jumapili inatosha kuabudu
  14. Bonesmen

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete akivuna mahindi shambani na Mke wake Salma Kikwete

    Msheshimiwa Raisi mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunakutakia Maisha marefu na tunashukuru sana Kwa kulitumikia Taifa hili, Mungu akupe maisha marefu ni furaha yetu kukuona bado na afya safi
Back
Top Bottom