Recent content by Bondia

  1. B

    Mnyika - tatizo la maji sasa lipo shingoni.

    Tatizo la mnyika ana maeneo anawapa kipaumbele km mabibo, ubungo na manzese, huku haji ana diwan wake anaitwa manota ndo kabisaa hana mpango makelele tu, tulianzisha ulinz shirikishi hatak tuchangie anasema ni serikali, hii serikal imetutelekeza yy angekaa na wananchi wa kimara na tukaweka...
  2. B

    Mnyika - tatizo la maji sasa lipo shingoni.

    Yaan naona ulichosema ni jambo la maana mkuu maana kuna vitu vingine mbunge haitaji support ya serikali zaid angeitisha mkutano.wa dharura na kuchimba mifumo ya maji na kutandaza bomba kwa kutushirikisha wananch, hata.hk kdg kinawashinda?? Maji yalikua yanaishia sehemu.moja wanaita vinane...
  3. B

    Wale wa nacte (diploma) mzigo umetema

    thanks for info bro ! loan watatukumbuka au ndo imetoka maaana list ya mwanzo kwa waliyoombea kwa form sx bath ilishatoka please advise !
  4. B

    Post za IFM tayari

    Thanks bro naomba tupe up date cha adult education
  5. B

    Jiandae kuangalia TV Imaan na kusikilza Radio Imaan

    mbona TV hainekani jaman? jana niliangalia ila niliona tu vibox na ilika ikiingiliana na radio imaana ! naombe frequence za TV kwenye dish!
  6. B

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    Radio haitii hofu ila wenye hofu ni ss km unaenda kinyume na hk lzm radio ikushtue maana inaweka waz yaliyo hakki bila kuuficha, hii ndo inapelekea wasiopenda kuambiwa ukweli kuichukia
  7. B

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    MashaAlla radio yt na tv yt tuipe support InshaAllah maana nuru ikiwaka vibatari havina kaz !
  8. B

    Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    kwa kwel umeongea maneno ya busara mno mkuu! wengi wanamshutumu hy baba wa watu bila ya kujua kiin ni nini? na mara zote ukitaka kutibu tatizo usideal na matokea tafuta chanzo ndo ufumbuz, kwa nini serikal iwasikilize tu BAKWATA? ilitakiwa pia ikae na ijaribu kuongea na kujua ponda hasa anataka...
  9. B

    Sheikh Ponda apandishwa kizimbani Morogoro

    naona una chuki ya dhahir dhid ya shujaa ponda! hapa ndo ujue ana thaman gan? tunamuona hana thaman machon ila aliyemuumba anaona ana thaman kubwa na atamlinda maana yupo ktk haki, huna ujasir alionao ponda hata chembe! na ndo maana hawez ogopa viumbe! msimamo wake anamuogopa aliyemuumba tu...
  10. B

    Prof. Lipumba aitaka Mahakama ya Kisutu kumfutia Ponda Mashitaka ya Uchochezi

    hii ni nchi ni ya wote na c jamii moja kuidhulum jamii nyingine kumuua au kumfunga ponda c ufumbuz, hilo kwa viongoz wa makanisa na ccm wanajidanganya na ni sumu mbaya wanaipanda ktk nchi hii yny kudanganya et ya aman ! ni ya aman kwa wagalatia na c kwa waislam wasiokuwa na thaman! Allah...
  11. B

    Prof. Lipumba aitaka Mahakama ya Kisutu kumfutia Ponda Mashitaka ya Uchochezi

    Haki ikidhihir uongo hujitenga tuzidi kuomba nusra ya Allah dhid ya madhalim wa uislam! ila kumbuken kuwa hakuna mtu alikua jeur na kibur kama firaun ila alikufa kifo cha kidhalili sana
  12. B

    Prof. Lipumba aitaka Mahakama ya Kisutu kumfutia Ponda Mashitaka ya Uchochezi

    Na InshaAllah atamlinda kama alivyomlinda nabii nuhu ktk tumbo la samaki
  13. B

    Kwa nini wakati wa 'kuibana' wanawake hujisahau kuliko wanaume??

    hapa ulichokosea ni kwamba umeweka red alert kwa wezi, tena wizi wenyewe wake na waume za watu'?? wazee husema mke au mme wa mtu ni sumu! ila nnaamini wazoefu wapo jitokezeni bac!!:decision:
  14. B

    Kabakwa live

    hapa sina jibu:clap2:
  15. B

    Misemo ya kichaga!

    shike ereya baba akwa amanya----naogopa baba yangu atajua:A S 465:
Back
Top Bottom