Hatimaye redio imaani kurudi hewani

Hatimaye redio imaani kurudi hewani

Serikali haikupaswa kuifungia kwa muda hii Station, ilibidi IFUTWE kabisa. Mtu hata History hajasoma wala hana elimu yoyote ila anajifanya kuchambua siasa kama anaijua.
 
Kuna watu wanatetemeka kwa kufunguliwa redio imaani

ni kweli,
watu wengi sana wanatetemeka kwa kufunguliwa kwa hii redio imaani,hii yote ni kwa kuwa shetani anarudi tena na redio yake.!
Sema Snuuuraaaaaaaa.!(mbona majangaaa,mbona majangaaa...)
 
sasa wakiendelea na upumbavu wao tunawapa life ban.
wapuuuzi wachache kina mohd issa na mzee mohd said wamezidi kumtukana baba wa taifa.
 
Jamani ukitaka kumjua -------- mckilize kauli zake au soma maandishi yake tafakari chukua hatua hivi kuna asili ya watu ni nyambafu eeee
 
Reddio pia waigopa,ama kweli Allah ni kiboko kwa makafiri.

Mngekua mna Allah nyie kwanza msingefungiwa halafu pia tusingekuwa tuna pigana vikumbo na wanawake zenu kwenye maombi na kila iitwapo leo wanabadilisha dini na kuokoka kabisa, akija nyumbani ni muislam ila moyoni mwake ni Mkristo damu damu...
 
Ni radio iliyochambua mpaka jinsi mawaziri na viongozi wetu walivopata Elim zao za kuunga unga ndo maana hata nchi inaendeshwa kwa kuunga unga, acheni ushabiki wa kidini, lakini ukiisoma history ya kweli ya nchi hii, walioleta uhuru wamefunikwa kabisa watatajwa ambao walitumia ujanjaujanja..... Watanzania fungukeni elimu iwasaidie
 
Watanzania elimu itusaidie isiwe kwa ajili ya kutafutia kazi tu.... Someni na vilivofichwa kwa maksudi...
 
Dini zimekua kama ushindani wa Simba na Yanga, haiyumkiniki ndo maana maovu yanazidi yakiongezeka ktk jamii, maana maana ya dini imeshafilisiwa na wajanja na wajasiriamali.
 
Chizi kapewa ruksa tena kujionesha kama kapona,bdo atabak vile vile tu,
 
Nyie si mna redio zenu za jeshi la wokovu, mapambio nk, sie tuachieni redio yetu!
 
MashaAlla radio yt na tv yt tuipe support InshaAllah maana nuru ikiwaka vibatari havina kaz !
 
redio inatakiwa kuelimisha na kuburudisha watu, sasa redio inapowatia watu hofu na wasiwasi hiyo si redio tena...
 
Radio haitii hofu ila wenye hofu ni ss km unaenda kinyume na hk lzm radio ikushtue maana inaweka waz yaliyo hakki bila kuuficha, hii ndo inapelekea wasiopenda kuambiwa ukweli kuichukia
 
Back
Top Bottom