Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Aiseee wezi njooni mtuambie
Maria uambiwe nini tena? Muanzisha mada ndiye mtaalamu mkubwa, unafikiri ameyatoa haya hewani?
Aiseee wezi njooni mtuambie
Ukimuona Lucy Kibaki mwambie namsalimia
Anawazia ya Misri yasijemkuta Mumewe... DA Upo?
hapa ulichokosea ni kwamba umeweka red alert kwa wezi, tena wizi wenyewe wake na waume za watu'?? wazee husema mke au mme wa mtu ni sumu! ila nnaamini wazoefu wapo jitokezeni bac!!:decision:Ahahahaah! Sijawahi sikia hii, huenda kuna ukweli. Tusubiri wataalamu wa kuiba na waliowahi kushuhudia watupe uzoefu!
Sijawahi "KUIBANA"
Sijui "KUIBANA"
Sitokuja "KUIBANA"
Unacheza kweli wewe uje kitandani nakolala mimi??? Kafanyie uf***** na uj**** wako hukooooooooooooo kwenye magesti na mahoteli uje nyumbani kwangu kwanza utaanzaje??? He he hehe kweli kuna watu akili zao finyu ha?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndugu zangu,
Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanamke. Inasemekana pia kwamba mwanamke akishawishika hujisahau kiasi cha kuvaa hata kanga na ndala za mke wa mwanaume na kutoka navyo nje asubuhi bila wasiwasi hatua ambayo ni ngumu sana kuifikia mwanaume. Eti wanaume wakati wote akili zao akili huwa zinawaza fumanizi.
Jamani, kuna ukweli wowote kuhusu hoja hii?
Wanwake sio wanajisahau, ni njia tu ya kutaka kuhalalisha kuwa wanahaki kulio hata huyo mama mwenye nyumba yake. hujawahi sikia mtu anasema huyu ni mumewe wakati yeye ni hawala tuu. Wanawake ndoo zao, hata ukiwa na uhusiano mdogo tuu atakuita mumewe ila kama kuna mwingine amovertake. lakini huwezi kuona wanaume wanang'angania mwanamke!!.
sidhani we mwizi akiiba atasema wafkiri.... lakini jf tuna wanaume watauwa huwa hawaibi wao,,,wala walichohalalishiwa tuu..heheheh loool.....:A S 13::A S 13: