Recent content by BONDE LA KUKATA M

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: RC Simiyu, David Kafulila fanya haya kuuendeleza mkoa

    Mkuu Wa Mkoa mheshimiwa Kafulila, kwanza hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, hiyo ni heshima kubwa kwa kuwa wengi walistahili ila wewe neema imekudondokea. Mkuu wangu umepewa jukumu kubwa kuuongoza mkoa huu hasa ikizingatiwa mtangulizi wako alifanya mambo makubwa kwenye sekta za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Kiukweli mama kuwa mkali na mapato sio binadamu hao tunaia kujitoa kwa nchi wapumbavu wanatuhujumu to a mfano tuuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Namwombea Msamaha Job Ndugai

    Msamaha tutampa endapo atajiuzuru tu Ninasababu nyingi za hill Kwanza watu walimuona ni miongoni mwa watu wabaya Pili ameonekana in mnafiki mkubwa sana Tatu in kigeugeu mkubwa sana so hata uongozi mbaya ukiingia ataendana nao nirahisi kuumiza watu. NNE ni MTU ambaye yukoradhi kukubali hats MTU...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa nguvu za giza ili kuwezesha kupata ajira

    Ngoja nikupe elimu kidogo. Mganga hakusaidii kupata ajira au Mali Ila anaweka mkataba kati ya nafsi yako na majini bila kukuambia .jivyo ajira utapata ila utailipia siku usiyojua wala gharama usiyo ijua. Nakuomba jaribu mambo mengi ila usijaribu kupoteza nafsi yako
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mashaka juu ya uwezo wa air defence system ya Israel Iron Dome

    We huijui system hiyo Waulize wapalestine zaidi ya90% ya makombora waliotuma yalidunguliwa lakini yao yote yalipiga targeted areas
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya mnyumbuliko maizi kizani ni tofauti na uhalisia nuruni

    Nakuelewa sana Mimi ni mwanafunzi wako ila najiandaa kufuzu ukufunzi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Kitu Gani?

    Ukweli ni uongo usio changamka. Ukweli ni siri isiyojulikana kwa anaeyeambiawa. Ukweli ni mda uliokimbizwa au kurudishwa nyuma. Asante
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Walikuwa na miujiza kama ya manabii ila kwa kuwa alizaliwa Afrika walimchukulia kama mchawi tu.mfano alinyoosha kidole kwenye miti ambayo hai na kukauka ili wake wake akate kuni. Mengine kesho
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, wajua majibu unayo wewe?

    Tumsifu yesu Kristu, bwana yesu asifiwe, iweeeeeeeee, asyalemu aleku. Kwanza niwashukuru wadau wote kwa kuendelea kudumisha jukwaa letu la JamiiForums, kweli mnastahili sifa. Ngoja nije kwenye mada je unajua majibu ya maisha yako, yako ndani mwako? Mungu alivyokuumba aliweka majibu ya riziki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Ni rahisi sana 1 badilisha simu tumia CMU isiweza kuperuzi .ni ngumu ila ni dawa ya mwanzo.2 hakikisha unaishi na MTU unayemuheshimu inawezekana akawa mke au rafiki.3 Fanya shughuli nyingi na usiku lala mapema.4lazima uwe na mpenzi maana sex nibasic needs.5 weka negativity ya jambo hilo kwani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mganga anampa mtu utajiri halafu yeye ni masikini wa kutupwa?

    Iko hivi mganga anajua mbinu za kuwasiliana na ulimwengu wa roho vizuri ila inawezekana hana baraka za kupata utajiri kwa masharti madogo . Kumbuka nyota ikiwa nzuri mashartiyanakuwa madogo ila nyota ikiwa butu masharti yanakuwa magumu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho

    Ulimwengu wa roho ni pale mwili unapokutana na nafsi au roho ambayo haina mwili. Ni mawasiliano kati ya MTU halisi na viumbe au kiumbe ambacho hakija vaa mwili. Kesho nitatoa somo usikose
  13. B

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Kwenye ulimwengu wa roho vitu ni vya sababu sana
Back
Top Bottom