Recent content by Bombs2012

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Jamaa hawaelewi hili, wao ni kulalamika tu wabongo ni wavivu, binafsi sijawahi kuwaza ajira napambana kivyangu kunusuru familia yangu kwenye umaskini.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Acha uboya nyie ndio mnakaa Kila siku kuilaumu serikali iwaajiri, halafu mnachagua kazi, piga kazi mtoto wa kiume
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Mwamba, mimi chadema kama wewe lakini ni mara mia samia kuliko magufuli
  4. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Kipindi Cha mwendazake usingeweza kuandika haya, sasa hivi unao uhuru wa kutosha. Hicho tu kinatosha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Hahah jamaa wanazingua
  6. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Kabisa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Hela haiIna meno, lakini ukwa nayo lazma ing'ate
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Naweka Kambi hapa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Yaaah
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Vikosi vya Usalama vyafukuza waandamanaji

    Kweli kaka tatizo binadamu wasahaulifu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Acheni utani hahah
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watu 30 wateketea kwa moto Nigeria

    Aseee mtu anachomeka mpaka anakufa, poleni sana wahanga
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Watumishi wa umma tulieni hivohivo
Back
Top Bottom