Recent content by boma2000

  1. boma2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mkuu wa tanzania hufanyika kila baada ya miaka mi5 kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms anazotaka mtu au chama

    demokrasia ndiyo hiyo anataka kupiga kura anapiga asiye taka kupiga kura alale kwake
  2. boma2000

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ajibu mapigo baada ya Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya urais 09 agosti 2025

    Siasa ndiyo politics nakumbuka kina Aristotle, Plato, Cicero na wengineo
  3. boma2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Wanaosema watazuia uchaguzi ni matapeli kama matapeli wengine

    Katika Nchi ya demokrasia Kila chama kila sera zake na mtazamo wako kwa masuala mbalimbali ya kisiasa. Ni lazima mtazamo wao uheshimiwe. Chama cha kisiasa na viongozi wao ambao wanadhani kila chama na kila raia anawajibu wa kuwaunga Mkono basi hai viongozi ni wendawazimu na hicho chama ni cha...
  4. boma2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Wasioshiriki uchaguzi watajutia uamuzi wao

    SAWA kabisa
  5. boma2000

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

    Chadema ni chama cha madikteta na a kisicho cha demokrasia maana wao wanataka kila Mtanzania afuate sera zao na mtazamo wao. MTANZANIA ambaye hawaungi Mkojo wanamfanya ADUI YAO. Hiyo ni dalili halisi ya chama kisicho na demokrasia na kilichojaa udikiteta. Ni hatari sana kwa hiki chama kuongoza...
  6. boma2000

    JamiiForums Tanzania Samia katika hotuba yake, amepuuza madai ya CHADEMA, maoni ya Kanisa katoliki na ushauri wa PM mstaafu jaji Joseph Warioba. Tunatokaje hapa?

    RAIS Samia ametumia busara, anaangalia 'big picture' kwa manufaa mapana ya Watanzania wote wapenda Nchi na amani kwa ujumla wake, si kwa wapenda mlengo wa chama chao.
  7. boma2000

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha: Ni kweli tunawashikilia Wachokonozi kwa makosa mbalimbali

    SAWA Chadema susieni, wengine ambao ndiyo wengi watashiriki kwenye uchaguzi, hiyo ndiyo demokrasia. Maana huwezi kulazimisha sera yako ndiyo utumike kwa Wengine ambao hawafuati mlengo wako wa siasa.
  8. boma2000

    JamiiForums Tanzania Fundi simu hapa uliza chochote

    Namba yako ya simu
  9. boma2000

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Member Maarufu Chit-chat

    First lady
  10. boma2000

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tusianzishe kampeni ya Boycott dhidi ya wanamuunga mkono Samia?

    Hivi wewe ni mtu unaependa na kuhubiri demokrasia au dikteta wa demokrasia
  11. boma2000

    JamiiForums Tanzania Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

    Chawa wapo kwenye kila chama cha siasa, kwenye makampuni, kila sector. Unataka chawa wa chama gani, au sector ipi au taasisi zipi, au chawa wa Nchi ipi au kiongozi wa chama kipi cha siasa
  12. boma2000

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mshangazi kupungua kilo 10 chap!

    Cute 🥰
Back
Top Bottom