GE2025 Uchaguzi mkuu wa tanzania hufanyika kila baada ya miaka mi5 kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms anazotaka mtu au chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa kama ni kila baada ya miaka mitano mbona mwaka huu hakuna uchaguzi.
nimeeleza kwa kina tena kwa lugha rahisi kabisa kwamba epukeni kupotoshwa na vibaka pamoja na matapeli walipoteza uelekeo wa kisiasa nchini.

Uchaguzi mkuu ni October 29,2025🐒
 
Nakuta kukupa pongezi zangu wewe mtu usiyefaa. Mafuta pongezi nilizokupa kwa kushiriki kura za maoni za ubunge.
shukran sana gentleman,
na Mungu akufanyie wepesi moyoni mwako.

kumbuka,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania ni October 29,2025🐒
 
Nyuzi zingine ni za kujizalilisha tu
relax ikiwa umelemewa na uzito wa hoja mahususi mezani gentleman.

Kumbuka ,
uchaguzi mkuu wa TANZANIA hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms zinazotakiwa na vibaka au matapeli wa kisiasa pamoja na vyama vyao vya siasa, sawa?🐒
 
Hoja ni uchaguzi gentleman, Wanamtandao kama kawaida wanapanga safu, au sio gentleman. Nchi inatawaliwa na watu wanne
uchaguzi mkuu wa Tanazania hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms anazotaka fulani na chama chake.

haipo hivyo na haitawahi kutokea Tanazania 🐒
 
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi lazima uchaguzi mkuu ufanyike kila baada ya miaka mi5.

Uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi Tanazania, utafanyika Tanazania October 29,2025, katika mazingira ya usawa na salama kwa wote watakao shiriki.

Chini ya serikali sikivu ya CCM, uchaguzi mkuu wa Tanazania utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms ambazo watu fulani wachache wanataka au chama fulani cha siasa kinavyotaka.

Hilo kamwe haitakubalika na halitawezekana hususani kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu huo wa kihistoria Tanzania.

Usikose kutumia haki yako ya msingi kuamua mustakabali wa taifa lako kwa kujitokeza kupiga kura Oct 29,2025.
Asante sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe tilalila Mimi siendi
 
Mjadala si ni uchaguzi gentleman? Na wanaocontrol kila kitu si ni wahuni?
kinacho control uchaguzi ni sheria na katiba ya nchi na sio vinginevyo,

ni vizuri kujiepusha na upotoshaji 🐒
 
Hakuna sheria na katiba zinazofuatwa na CCM gentleman, acha upotoshaji
vibaka na matapeli wa kisiasa waropokaji wanao kiuka sheria wanasota korokoroni kwa mujibu wa sheria walizokiuka,

ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kujiepusha na dhana potofu kama hizo 🐒
 
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi lazima uchaguzi mkuu ufanyike kila baada ya miaka mi5.

Uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi Tanazania, utafanyika Tanazania October 29,2025, katika mazingira ya usawa na salama kwa wote watakao shiriki.

Chini ya serikali sikivu ya CCM, uchaguzi mkuu wa Tanazania utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms ambazo watu fulani wachache wanataka au chama fulani cha siasa kinavyotaka.

Hilo kamwe haitakubalika na halitawezekana hususani kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu huo wa kihistoria Tanzania.

Usikose kutumia haki yako ya msingi kuamua mustakabali wa taifa lako kwa kujitokeza kupiga kura Oct 29,2025.
Asante sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
demokrasia ndiyo hiyo anataka kupiga kura anapiga asiye taka kupiga kura alale kwake
 
vibaka na matapeli wa kisiasa waropokaji wanao kiuka sheria wanasota korokoroni kwa mujibu wa sheria walizokiuka,

ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kujiepusha na dhana potofu kama hizo 🐒
CCM imevunja katiba yake yenyewe, ndo itaheshimu katiba ya nchi?
 
umebebwa ufala kifikra na na matapeli wa kisiasa nawe ukabebeka kilofa na sasa unaropoka tu hata mambo usiyoyaelewa wala kuyajua 🐒
 
Back
Top Bottom