Recent content by bologna

  1. bologna

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wadau mtu ambaye ameandika barua inayohusu jinsi ya kulipia service line nguzo mbili anicheki inbox ili na mm nidese barua hiyo nimfuate manager wa eneo langu. Maana huku nilipo kunapigo za kishamba, ambao hatupo kwenye mradi wa REA hatupati umeme hii siilewi kabisa yani tunabaguana hata kama...
  2. bologna

    Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Mavyombo yanamambo mengi.
  3. bologna

    Namtafuta rafiki yangu Jesca. Aliishi Ukonga

    Acha uvivu funga safari hadi mazizini kama wamehama ulizia wenyeji watakuelekeza. Jesca wapo wengi Tanganyika hata Raisi Magufuli anamtoto anaitwa Jesca pia.
  4. bologna

    Cristiano Ronaldo anasubiria nini kustaafu? Au hadi aanze kuzomewa uwanjani ndio atakubali

    Ukweli mm kama shabiki wa juve og sio juve Ronaldo nafurahishwa sana na Juventus jinsi inavyocheza kwa sasa. Juve inabidi icheze kama juve sio icheze kwa kuweka imani na kila kitu afanye Ronaldo ili siku akiondoka timu ianze kuhuzunika. Msimu uliopita kila mpira ilikua Ronaldo tu na kumpa...
  5. bologna

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    Tuchunguzage familia tukioa sio kuwaza mbunye tu na mikatiko. ww kwenu Dar umekulia kistarabu unaenda kuoa au kuolewa na mtu wa mkoani familia yao ichunguze inandugu wangapi je ni nani kwenye familia yao mbeba majukumu yao. Ukiona wanajimudu then oa au olewa. Sasa ww ukiona haijiwezi oa uone...
  6. bologna

    Nilichogundua kwenye maisha kuzaliwa tumbo moja sio tiketi ya kusaidiana

    Tatizo malezi malezi, kunafamilia nyingine chuki wanarithishwa toka kwa wazazi wao. Wazazi hawawafundishi upendo watoto wao na jinsi ya kusaidiana japo kunandugu wengine hawabebeki bora umsaidie hata paka au mbwa.
  7. bologna

    Hofu ya kuongezeka kwa maambukizi ya HIV na TB

    Ukweli njia pekee ya kuzuia maambukizi ni kukataza matumizi ya ARV tu. Hapa inabidi irudi ile chai Og ya kitambo kile. Maana kuna kundi la watu linaambukiza wenzao kwa kasi pale wanapojijua wamepata mambukizi.
  8. bologna

    Juventus Special Thread

    Dyabala ameamua kufanya kazi sasa. Costa nae akipona vizuri itakua balaa tupu juventus.
  9. bologna

    Naomba kujuzwa gharama ya kuziba meno

    Kalitoe jino hilo. Haizidi elfu ishirini. Dokta akiliangalia atashauri ulifanye nini.
  10. bologna

    Mapenzi yamenifikisha hapa

    Unachanganyaje bangi na takataka nyingine wewe, ukivuta bangi pekee unasahau wanawake na kuwadharau
  11. bologna

    Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

    Mm NBA naangaliaga ukianza mtoano. Bora niangalie Euroleague na Eurocup maana kuamka alfajiri kuangalia NBA inataka moyo kweli.
  12. bologna

    Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

    Watu wanajidanganya. Yule hata akienda morna bar ya croatia hapati namba. Wenzake wajanja wakiona upepo umekaza NBA wanakimbilia ulaya watambe hata Euroleague ili warudi Nba. Ulaya kipindi hiki wanaanza kukipa kipaumbele kikapu. Marekani ni kugumu hao maMVP wenyewe hawachukui back 2 back kama...
  13. bologna

    Sababu za waimbaji wengi kufilisika Duniani kulipa watu ovyo

    Ukweli wa msanii siku akifa tu ndio utaujua.
  14. bologna

    Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Daaaaah Kuna demu aliniambia nikampige show ya kibabe leo, ila nimeona huu uzi nimeghairi kabisa ngoja niblock na namba. Hii 30k yangu ya Logde ngoja niitafutie odds 10 nibet. Mambo ya ngoma hayaa bora nipige lamkono tu kwa leo.
Back
Top Bottom