Ni kweli iwapo CCM haitadiriki Wizi wa kura, Vitisho, Uongo na Rushwa! Muwe wakweli na Mungu atawabariki kinyume chake mtalanika
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mbona hata Mheshimiwa sana Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu aliidhinisha rushwa kwa kusema hiyo ni Takrima na sawa kutolewa. Amesahau?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mmmmh mwanawane, hawa wajomba nomaa kweli kweli,! Wanalipika, linawashinda wakikosolewa wanakimbilia kuliweka sawa na kisha kujiita shujaa wakati hoja iliibuliwa na mtu mwingine? Hivi hansard za Bunge hazioneshi ni Mbunge gani aliyeshughulikia hoja maalumu ya kupinga fao la kujitoa? Ushujaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.