Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Kwangu mimi Hizi ni habari Mbaya zaidi katika Ijumaa hii na mwezi huu!
Mungu mfariji Kakakiiza kwa jinsi ya fahamu zako.
Roho ya marehemu ilalepema peponi!
 
Duh pole sana Kakakiiza, Mungu akupe nguvu, ujasiri katika kipindi hiki kigumu
hata hivyo wote sie wapitaji tu, ndiko tunakoelekea

RIP Mrs Kiiza.......
 
Poleni sana wote mliofikwa na msiba huu,Mungu wetu wa mbinguni awape nguvu na moyo wa ujasiri katika hili...Rest in Peace mama Kiiza.Ameen
 
Ni pigomkubwa kwa namna yoyote ile, lakini Mungu anakupa majaribu akiamini kuwa una nguvuza kukabiliana nayo. Naamini sisi sote hapa JF tutazidisha maombi yetu ili mwenzetu ajaaliwe nguvu za kimwili na kiroho kukabiliana na pigohili. Pole sana KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
..Poleni sana Kiiza na familia nzima. Mungu awape ujasiri kipindi hiki kigumu.
 
Aisee! Inauma sana. Pole sana mkuu KakaKiiza. Kazi ya Mungu haina makosa. MUNGU akupe moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwako. RIP shem wetu.
 
Last edited by a moderator:
Daaaah!Mkuu,pole sana,Mungu akupepe nguvu na ujasiri katika wakati huu mgumu!Pole sana mkuu!
 
Pole sana Kakakiiza, Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akutie nguvu wewe na familia katika kipindi hiki kigumu. May Her Soul Rest in Peace, Amen.
 
Back
Top Bottom