Recent content by Boko haram

  1. Boko haram

    Matukio wakifanyiwa Yanga huonekana kawaida lakini yakitokea kwa timu nyingine huonekana ni dhambi

    Sheria ifuatwe kwenye mpya tu hizo nyingine hazikuwahi kuwa mpya teh teh teh! Bongo raha sana....
  2. Boko haram

    Shaffih Dauda Vs Haji Manara

    Ukumbuke hao wakongo ndio walitusulubu kwa mkapa vipi kuhusu wale wacheza makirikiri?
  3. Boko haram

    Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

    Sasa ulitaka apeleke mpira kwenye channel ya upendo? Hiyo channel anaimiliki yeye ndio maana unaona anapeleka mpira huko hebu jiongeze kamanda sio kila kitu ni siasa
  4. Boko haram

    Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

    Kuna dada anaitwa Sabrina kuna Jacob kuna Adam Ndimbo kuna sebastian huyu yuko kwenye promotion hilo hawalioni
  5. Boko haram

    Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

    Mbona ukibonyeza epg inakuletea ratiba shida chuki mlizo nazo zinawasumbua
  6. Boko haram

    Azam TV Imefeli kwenye kujitangaza, haijulikani mechi inazoonyesha hadi ubahatishe, walio kitengo cha Promotion wang'olewe

    Mjinga sana huyu jamaa eti udini tena kitengo cha masoko wako wakristo wengi hilo halioni chuki tu zinawasumbua
  7. Boko haram

    TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Hans Pope amefariki dunia poleni wana simba poleni wapenda michezo
  8. Boko haram

    Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Mbona pale manzese wametandaza kama nyanya wanapata tabu ya nini?
  9. Boko haram

    Kaizer chiefs vs Al Ahly

    Na nyie yaliwapiga 4
  10. Boko haram

    Prof. Assad hii hadithi ya Mtume S.A.W unaijua?

    Na hapo hapo kwenye uislamu unasema mitihani mnayoipata ni kutokana na mliyoyatanguliza kwa mikono yenu... Acheni dhuluma,Wizi na mabaya mengine muone kama mtaletewa mtawala dhalimu...
Back
Top Bottom