Na ya simba walibebwa sana kuna penalt ilipetwa pale kama unakumbukaMechi ya kasablanka kaiza walibebwa.
Ahary piga hao nyingiiiiiiii.
Na ya simba walibebwa sana kuna penalt ilipetwa pale kama unakumbuka
Wanapigika huko...Team kaizer japo walitutoa ila piga hao waarabu koko
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ishapigwa pinDakika 78'
Kaizer Chiefs 0 : 3 Al Ahly
Hii comment mnaiona lknAhly Cairo and over 2.5 tunza hii
Kama tuliyapiga 3 kwa nini wasile 5 hapa