Recent content by Boko halal

  1. B

    JamiiForums Tanzania Second Selection Advance Level

    Unatuma maombi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ninapokuwa na majina tofuati kwenye NIDA na Cheti cha Kuzaliwa

    Wewe jamaa ni muongo sana, hayo majina hayana shida yapo sawa ukumbuke kilichofafanuliwa kwenye Nida ni hiyo initial "C" ndo imeandikwa kwa kirefu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwanza kabisa hawana mamlaka ya kushirikia hicho cheti maana hakikukuwa dhamana. Hivyo wanatakiwa kurejesha hicho cheti kwa mmiliki halali kukaa na cheti cha mtu mwingine ni makosa ile ni nyaraka yake, ndio maana hata mabenki hayatoi mikopo kwa dhamana ya vyeti. Fanya yafuatavyo. 1. Tafuta...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza

    Wewe ni kilaza nambari wani kwa akili zako unaona lile tukio ni la hiari?!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

    Wahindi wanatuzidi watu weusi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    Maccm yana siri kumbe tulishatoka uchumi wa kati.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanga: Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua baada ya kumfumania mkewe

    Subiri siku ukiolewa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mulikeni ujenzi wa madarasa Tarime

    Utaratibu wa force account ni mzuri sana na wala chadema hajawahi kuupinga.
  9. B

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mulikeni ujenzi wa madarasa Tarime

    Halmashauri ya wilaya ya Tarime ilipokea pesa za ujenzi wa madarasa sawa na halmashauri zingine nchi nzima lakini mpaka sasa ujenzi huu upo chini na unasuasua sana, maeneo mengi ujenzi upo hatua ya maboma huku madarasa machache yakiwa kwenye hatua ya upauaji. Hatua hii ya ujenzi kusuasua inatia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Gari hairudi reverse

    Hizi gari ni shida Kuna nyingine inarudi reverse tu mbele haiendi.
Back
Top Bottom