Nimegundua huyu Mshkaji ana chuku za bure tu kwa Mugalu, ebu atuambie huyo Kagere anaetaka aanze kucheza badala ya Mugalu mechi ya mwisho na Al Ahly alianza alifanya nini zaidi ya kukimbia kimbia tu uwanjani, kutuliza tu mpira ilikuwa shughuli kwake.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums...
Kama unazani Covid 19 imekuja kutoa funzo kwa hao tu wewe unaozani walikuwa wanafanya starehe na hanaxa umekoxea kidogo, Covid 19 imekuja kuharibu uchumi na maixha ya watu kiujumla na xio kutoa funzo kama unavozani kwaxababu kama ingekuwa inawahadhibu wanaofanya izo hanaxa na starehe tu kweli...
Tatizo baadhi yenu mnakubali kuwa katika mahusihano na wanaume kwa sababu ya kipato chao, sasa unakuta mwanaume akigundua ilo ndo anatafuta sababu ya kukutema! Sasa kwa upande sijajua kama unatatizo ilo! Kama uko powa naamini utapata tu unaemuhitaji! Mimi pia huwa sipendagi mademu ambao watakuja...
Mtoa Uzi naona umeandika mambo mengi sana lakini nasikitika kwamba unafahamu fika kuwa Uchaguzi halali wa Zanzibari ulishafanyika October 25 lakini ulifutwa kwa maksudi baada ya wenye dola kuona wanaenda kushindwa na unafahamu fika kuwa Mwenyeki wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibari hakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.