Recent content by Body Armory

  1. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

    Na je kuna limitation ya muda toka umemaliza elimu ya sekondari maana kwa sasa mimi nina mwaka wa 9 na bado nina ndoto ya kurudia mtihani wa kidato cha nne mwakani!
  2. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Sababu za watoto kuchelewa kutambaa msaada

    Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale, Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka mmoja mpaka miwili.
  3. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vituo vizuri vya kurudia mtihani kidato cha nne kwa Dar

    Na kurudia mtihani huwa kuna muda mwisho ni miaka mingapi???????
  4. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    Naamin kuna wanawake humu kuna kitu wamejifunza
  5. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

    Shukrani mkuu
  6. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

    Wapendwa wanaJf habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale na kazi katika ujenzi wa taifa. Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri kuhusu suala ambalo nimeona nije niombe ushauri kwenu Nimebahatika kuzaa na binti mmoja ambaye katika kuwa kama wapenzi ilitokea akabeba ujauzito wa nyumban kwao...
  7. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Hao wengine c wapo hai watuletee maelezo yanayojitosheleza na pia nmeona kuna cha kujifunza katika hii awamu ya sita akili mkichwa
  8. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Hakuna ukomo wa kurudia yaan huyu ana miaka minne sita au saba toka amemaliza kidato cha nne
  9. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Ahsante sana
  10. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Nimeota tupo kwenye mashua tunavuka maji mara ghafla kukatokea dhoruba kubwa cjui ni baharn au mtoni lakn tuliweza kufanikiwa kuvuka na kifika ng'ambo salama ckumbuki kama kwenye ndoto hyo nilikuwa nahofu wakat wa dhoruba hiyo.
  11. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Ahsant sana kiongoz kwa muongozo
  12. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Shkrani sana mkuu nimekuelewa vzr kabisa
  13. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Napenda kufahamu kuhusu utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha nne maana naamini humu walimu wapo wanaohusika na wanaorudia mitihani hyo, je wanaorudia mtihani huwa nao wanakuwa na continious assesment(CA) pili wao mitihani yao inasahihishwa na kupewa alama kwa utaratibu upi? Tatu na mwisho...
  14. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Usiku wa kuamkia leo nimeota tuko watu wawili tuna vua samaki mahali sio mtoni, bwawani,ziwani au baharini na tukapata samaki mchanganyiko kila mmoja wa kwake aina ya samaki niliyoitambua ni sato, mara kuna gari nadhani la police likaja nikaondoka nalo ila zile samaki niliwaachia nyumbani kama...
  15. Body Armory

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    mmmmmmh wacha waisome namba ccm mbele kwa mbele!!!
Back
Top Bottom