Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

Ushauri kuhusu kwenda kwao na binti

Body Armory

Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
19
Reaction score
10
Wapendwa wanaJf habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale na kazi katika ujenzi wa taifa.

Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri kuhusu suala ambalo nimeona nije niombe ushauri kwenu

Nimebahatika kuzaa na binti mmoja ambaye katika kuwa kama wapenzi ilitokea akabeba ujauzito wa nyumban kwao walimuulza kuhusu huo ujauzito akawaambia mhusika ambaye ni mm ila wa nyumbani kwao hawanifahamu zaidi ya kuwasiliana nao kwenye cm hasa mama yake, jana nimewasiliana na mama yake binti akaniuliza ni lini nitaenda kumuona mtoto na kwenda

kutambulika pale kwao binti, je napaswa kwenda na vitu gani na pale kwao ni watu wa musoma (wakurya) kwa wale wanaofahamu tamaduni za kabila hili kwa kile nachotaka kwenda kukifanya msaada tafadhali ili nisikurupuke

Ahsante.
 
HILI SI UNAMUULIZA MWENZIO TU
 
Hongera sana kwa kuwa Baba mtoto na kutetea jopo la single mothers wengi ktk karne hii.
 
Back
Top Bottom