Body Armory
Member
- Jun 24, 2021
- 19
- 10
Wana Jf habari za kazi na mihangaiko ya hapa na pale,
Nilikuwa napenda kufahamu sababu zinazopelekea baadhi ya watoto wakachelewa kutambaa au wakawahi kutambaa katika kipindi cha ndani ya mwaka mmoja mpaka miwili.