Recent content by Bodhichitta

  1. Bodhichitta

    Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Kwa maisha ya wengi wa Africa hasa Tanzania hiyo miaka ya 30's ndo kwanza akili inakuja.. ukute wengine ndo wanajikokota kutoka Kwa wazazi wakajitegee..
  2. Bodhichitta

    Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    kwanin usianze na kuonyesha attachment ya hiyo Aya ndo ukaja na hizo attachment nyingine!?
  3. Bodhichitta

    GE2025 Udiwani Ngarenaro: Dogo Janja aibuka kidedea dhidi ya diwani anayemaliza muda wake

    acha kuwa underestimate watu kiongozi, kwa tathimin yangu ya harakaharaka tu Hawa watu wanaodhaniwa kuwa Hawana elimu ndio wanaotoa michango mingi kwenye mijadala ya masuala ya kimaendeleo. kaangalie wabunge utawaona pia, alafu wao huaga wanaongea kuhusu uhalisia wa maisha na sio mambo ya...
  4. Bodhichitta

    Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    nilisema usiandike Kwa chuki na badala yake fuatilia ujifunze, Kuna mengi hujayajua kuhusu dini hiyo
  5. Bodhichitta

    Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    hili nimelisema wapi kiongozi katika komenti yangu?
  6. Bodhichitta

    Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    unajuaje kuwa sababu ya vita, chuki, kuuana ni uislam!? tofautisha Kati ya uislam na waislam... Kuna kimoja kinaweza kuwepo bila hata uwepo wa kingine..,
  7. Bodhichitta

    Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    kiongozi, kwenye uislam hakuna kusubiri uambiwe, Ni kutafuta ukweli.. na ndo maana unaona watu wanakosoana mtu akizungumza lisilo na ukweli au lenye ukakasi. kwahiyo kule ni wewe tu na uwezo wako wakufuatilia dini. suala kusubiri kuambiwa kwenye uislam ndo kwanza nakusikia wewe.
  8. Bodhichitta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hivi kiongozi unaujua mtihani au unasema? mtihani nikitu Cha ajabu saana, mfano wewe Sasa hivi unaweza ukapewa kazi yakutunga mtihani lakini siku ukiambiwa nenda kajibu mtihani uliotunga, ona utakavokuwa n hofu lakin pia sio hofu tu na unaweza kufeli pia. lakin Kwa hoja yako yakusema kuwa mtu...
  9. Bodhichitta

    Qur’an bila apokrifa: Je, ingekuwepo?siri ya qur’an na vitabu vilivyokatazwa

    kiongozi jaribu kutafuta hoja ambazo kilojiki zinaweza kumsawishi asiyejua akasawishika, sijajua mantiki yako nikuonyesha kuwa Quran haikuja na jipya au laa. lakini kama hoja yako ni kutaka Quran iwe na jipya Hilo sio lengo lake. lengo lake ilikuwa ni kuleta muongozo katika umma wa Muhammad...
  10. Bodhichitta

    Qur’an kitabu kisichopangwa kwa mtiririko wa kihistoria, kimantiki, wala kimaudhui

    nakupongeza saana kiongozi Kwa kazi unayoifanya, Kwan sio tu unawapa watu ufahamu na elimu lakini pia unawapa watu hamu ya kuchimba zaidi kuhusu uislam. naomba usiishie hapo kiongozi hizi mada zako ziwe endelevu.. nakuombea Kwa Allah akupe afya njema na uwezo wakuchimba zaidi kwani...
  11. Bodhichitta

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    yaani kuwa huko kazuramimba kigoma, linakochelewa jua kuzama ndo useme uko mantoni!?
  12. Bodhichitta

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    Sasa mim mpare na mswahili kwenye hiyo video naelewa Nini?
  13. Bodhichitta

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    hujaolewa!? sa 9 hii uko macho na unajibu comment? kweli umeamua kuisambaza injili Kwa njia ya AI
  14. Bodhichitta

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    bahati mbaya hata sikuifungua, kwani umeambiwa ungeteneza yakuongea kipare watu wasingeelewa Hilo neno?
  15. Bodhichitta

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    kumbe ndo maana sijaisikiliza, siku nyingine uwe unaandaa vya maana basi.
Back
Top Bottom