Kwanza pole sana mkuu kwa kuuguza, jaribu hii ni hakika Majani ya mstafeli ni dawa iligunduliws muda mrefu na wamarekani lkn kwa sababu za biashara tesearch ile ikawekwa kapuni bila kufanyiwa kazi hadi leo
Mahakama kuu IPO lakini jaji mkuu hayupo mpaka sasa jiulize nani anakaimu nafasi hip uliona wapi nchi bila ya jaji mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu no kichwa we we alisimamia kesi ya Jacob Zuma Afrika ya kusini akashinda mtaje mwanasheria yupi aliyewahi kuendesha kesi nje ya mipaka ya nchi akashinda?
Kama ya makinikia tu watu wamekuja toka nje na wamewashinda bio time ya watu makini. Sema ukweli tu una chuki binafsi na lisu.
Sent...
Baraza la Wawakilishi (CCM) visiwani Zanzibar limepitisha kwa kauli moja Mswada wa Sheria, unaotaka pamoja na mambo mengine;
(a) Bidhaa kutoka Tanganyika na kuingia visiwani Zanzibar zilipiwe VAT 18%
(b) Ajira kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kwa Wazanzibar tu.
Hili jambo naona...
Sio kweli kwamba wa Afrika ni wavivu wako watu waliojitokeza kuandika kuhusu historia ya Africa na ugunduzi mwingi tu na mahiri ambao leo umeshamiri.
Kuna mtu 1 ni black America amefanya homework yake nampenda kwa sababu ananifariji nijivunie kuwa Mweusi kwa jina ni Dr. Myles Munroe. Huyu...
Magufuli:-Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.