Recent content by bobovic

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kodi ya sim card

    Ndugu zangu ili mjue mfa maji heshi kutapatapa angalia serikali hii ya CCM inavyotapatapa. labla tujiulize kwa makini. inaingia akilini kweli kumwongezea mzigo mwananchi kulipia laini za simu wakati mtanzania sasa hivi anakula mlo moja kwa siku. Mwananchi huyuhuyu analipia kusomesha watoto...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    Nimeshindwa kumwelewa mchangiaji au mwanzilishi wa mada hii kuwa ati Josephine Mushumbusi anainajisi CHADEMA. Ninachojua mimi kama mwanasiasa, mama huyu akiwa ndani ya chadema au akiwa ndani ya itikadi ya upinzani anapotoa mawazo yake huwa hawekewi mizani kuwa ni mke wa nani au rafiki wa nani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mh Lema mbunge

    sema alichoongea usilete unafiki, usituletee habari ya kufungia gazeti lakini usemi umelifungia kwa kuwa limeandika nini
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

    afadhali kidogo sasa hivi badala ya kaburi la ccm kukamilika wamelifanya kuwa nusu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

    nimejipanga na video kamera ili wasije wakageuza ukweli kuwa uongo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    hivi hili fungu la kuni(10%) inatakuwa lipelekwe kanisani/msikitini au apewe aliyefanya biashara?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbowe: Swali kwa waziri mkuu alhamisi ni hili!

    wakrito hawajakatazwa kuchinja, kama kula nyama iliyochinjwa na muislam kwenu ni dhambi chinjeni mle wenyewe ,ila kaeni mkijua kwamba nyama itakayokuwa imechinjwa na muislam waislam watakula na wakristo wengi watakula,ila nyama iliyochinjwa na mkiristo watakula wakiristo peke yao
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbowe: Swali kwa waziri mkuu alhamisi ni hili!

    mimi namuomba Mh.Mbowe usiulize swali hilo maana watakugeuzia kibao kwamba chadema ni chama cha wakristo na wanadai kuchinja,kama swali hilo ni la muhimu kuulizwa bungeni basi aulize mbunge wa CCM
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Loliondo: Kagasheki aponda kauli ya Nchemba

    ingawaje kila mbuzi hula usawa wa kamba yake,lakini mbuzi wengine wamekata kamba
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    mawazo mazuri sana ya Pengo serikali iyafanyie kazi haraka kabla hayajapoa,tena kama kutakuwa na kongamano liwe LIVE hata kama litachukuwa mwezi mzima maana huu ndio utakuwa mwisho wa fitina zetu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Ungetolea mfano kwa wale waliopokewa dodoma tungekuelewa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Lwakatare adhoofika: Kova kuanika maadui waliomteka Kibanda

    mada hii ni muhimu lakini kwa hali ilivyo hivi sasa ndani ya JF inaitaji roho ya ujasiri kuichangia la sivyo kalamu yako 2015
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    kwa maelezo ya huyu kijana,ni kwamba kuna kundi wanazo hizi video,kama polisi watakuwa makini miongoni mwa kundi hilo ni Nchemba maana na yeye alisema anayo CD, sasa kwa vipi polisi wanashindwa kuwakamata hawa wenye hizi CD ili waeleze walivyozipata alafu kila kitu kiwe hadharani?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zitto, Bashe Nao Kuwindwa Na Wang'oa Kucha!

    ulichokosea ni kusema kwamba,Zito anamaadui ndani ya chadema hilo si kweli chadema sio kama ccm yenye makundi na uadui. wewe unachotaka kufanya ni kuwaambukisa chadema umagamba
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

    ebu niambie kwa maoni yako hivi kwelihuoni kwamba Nchemba ikiitoa hiyo CD kwa polisi ingesaidia sana katika uchunguzi?
Back
Top Bottom