Ushauri kwa Mh Lema mbunge

Ushauri kwa Mh Lema mbunge

Makamanda ukweli utabaki kuwa ukweli Lema anaitaji kupewa ushauri anapokosea.mnakumbuka Nasary alishawahi kuambiwa ametoa maneno ya kitoto bungeni? sasa Lema tutasema ni maneno gani?sio kila aneye kosoa chadema ni magamba wengine ni viongozi wa hao hao chadema.mapenzi mema ndio yanawafanya kukosoa adharani.chukua hatua kamanda ili kukinusuru chama sio malumbano yasiyo na tija.Mungu ibariki Tanzania.
 
Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
True mkuu..Don Calleone aliwahi mwambia kijana wake mbele ya watu hatakiwi kuonyesha hasira zake it will affect his Judgement.Pamoja mkuu hope kamanda Lema ametupata.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Chama kama Gari la Mkaa kila mtu msemaji Hakuna discpline wanakurupuka kila mtu na kauli yake
 
basi nitawahoji!
wanaoafiki hoja kuwa mh Lema aliteleza waseme ndio ..Ndioooooooooooooooooooooooo
Wasioafiki hoja waseme sio. Siooooo

Hoja imepita . walioafiki wameshinda. Somo kwako mh Lema Ukiona hivi ujue watu wanapenda mafanikio yako nasio kukukwamisha
 
Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
Ni ushauri mzuri.

Kitu ninachokiona siyo tatizo la Mh. Lema peke yake, bali lawama ziwaendee pia viongozi wa juu wa CHADEMA hasa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ambaye mara nyingi yuko karibu na Mh. Lema siyo kikazi tu bali hata kwenye maswala ya kibinafsi.

Kwa busara aliyonayo Mh. Mbowe, nitashangaa kama hajagundua kama Mh. Lema ana tatizo hasa pale anapojikuta yuko katika oppressive environment kama kiongozi. Mwanasiasa mara nyingi anapimwa hekima na busara zake pale anapopambana na mazingira haya (oppressive environment). Kwa mara nyingi, Mh. Lema ameonyesha self-belief lakini composure ikawa ni zero. Mwanasiasa anatakiwa awe na hivi vyote kwa wakati wowote (Self-belief and composure).

Mh. Mbowe inabidi amsaidie kwa kumpa ushauri ili atafute independent adviser wazuri kwa maswala ya kisheria na kijamii ambao watakuwa wanamshauri on a daily basis.

Hata wale ambao wako karibu naye, lazima waache unafiki wa kumwambia kile anachopenda kusikia. Matokeo ya ushauri wa kinafiki ni HUBRIS AND CONTEMPTUOUS. constructive criticism ni njia nzuri sana ya kumjenga katika safari yake ya kisiasa.

He is becoming a FREELOADER
 
Binadamu yeyote hukosea na binadamu yeyote mstaarabu anapokosolewa hujirekebisha Nahakika Lema atafanya hivyo ni kweli alichemka kutokana na yaliyomkuta kuteleza sio kuanguka
 
i am so happy kuona hizi criticism zinatoka kwa member wa Arusha. its about time tuwe tayari kujikosowa na kukoselewa.
we need a better and stronger opposition.
 
Katika kipindi cha hivi karibuni naona kamanda lema anaongea mambo akiwa ktk jazba kubwa sana.kutokana na hilo me naona kuna sehemu anakosea kwani wataalam wanasema mtu ukiwa na hasira au furaha sana sio vizuri kutoa maamuzi au matamko yanayohusu jamii mojakwamoja.Ushauri wangu kwake ajari kufikiri kwanza kabla ya kutoa tamko lolote na pia atafute ushauri kabla ya kufanya hivyo pia.Mungu ibariki Tanzania.
sema alichoongea usilete unafiki, usituletee habari ya kufungia gazeti lakini usemi umelifungia kwa kuwa limeandika nini
 
Jembe atajirekebisha, ila dk slaa kila kukicha anaingilia mahakama dhidi ya lwakatare kupitia chama. Je chama kimeafiki?
 
Sound Great! Labda nyoka hawajaamka bado kupost utumbo humu, ni faraja mfalme kakaa vibaya na kuambiwa.
 
Siku zote tunasema ni aibu Arusha kuwa na mbunge wenye uwezo finyu kama lema ila watu wanatukana . Afadhali nyie wenyewe mmejionea . Hajui azungumze nini na wakati gani . Ni aibu kuwa na mbunge wa namna hii kwenye mji wa kimataifa kama Arusha . Hata kama ni upinzani sio wa namna hii . Huwezi kumkuta mtu kama mnyika au mbowe wanaongea hovyo kama lema anavyofanya.
Siwezi kumlaumu yeye maana uwezo wake kielimu ni mdogo sana ndio maana anashindwa kuchambua mambo kiupana .
 
lema ana elimu gani mkuu?
 
well said mkuu kamanda lema atayafanyia kazi wazo lako
 
Back
Top Bottom