Recent content by Bobo

 1. B

  Tunauza kinywaji cha DRAGON (energy drink) kwa bei ya jumla

  habari.. tunauza kinywaji cha dragon (energy drink) kwa bei ya jumla tsh 37000 per caton (24 pic) 500ml call 0714 9616 61 or 0756 090 222 dar es salaam
 2. B

  Natafuta BODY YA DEEP FREEZER yenye urefu wa Futi 6 hadi 8

  Habari zenu waungwana, kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza natafuta body ya deep freezer ya aina yeyote ile yenye urefu wa futi 6 hadi 8. Mwenye nalo naomba ani pm. Liwe ndani ya eneo la dsm.
 3. B

  Smart collection (perfumed deodarant spray) zinauzwa kwa jumla

  izo mkuu hatuna ...karibu sana kwa aina nyingine za smart collection
 4. B

  Smart collection (perfumed deodarant spray) zinauzwa kwa jumla

  Habari Jf, Tunauza Deodarant spray kwa bei ya jumla, bei Tsh 3500 kwa pic1..tunauza kuanzia pic 40 nakuendelea na unaletewa hadi ulipo kwa Dar es Salaam. Call : 0718 446935
 5. B

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  Mimi nipo morogoro -mikese secondary nahitaji kuhamia dar wilaya ya kinondon.. Tutafutane kwa no; 0753617960 au 0754642242
 6. B

  Natafuta starlet/nissan march kwa four millions.

  mkuu mi sio mwenye gari ila nmewiwa kusaidia pia kuna tangazo nlona zoomtz jamaa ana nissan march 1999 AWC kwa mil 4.2mil..km 131000 no zke.. +255 715 859 321 dsm..then kuna wa dodoma nissan march milango 3 bei 3.2mil no zke +255 713 176 622 imetembea km 150000 AZD. Kuna nyingine ya 2002...
 7. B

  pimped starlet reflet inauzwa 6,100,000

  mkuu bribaki..,mi ikifika 3.5 MIL nishtue npo serious
 8. B

  Tablet for sale

  mkuu shark nmekupata,lakini upo chini kiukwel
 9. B

  Tablet for sale

  umeeleweka mkuu,shukran kwa mchango wako
 10. B

  Tablet for sale

  Habari ndg JF Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini). DSM serious buyer call 0717 163106 SPECIFICATION ZAKE Nertwork : 2G & 3G Sim card : YES either TIGO,VODACOM,ZANTEL,ZAIN etc Body weight : 403 g...
 11. B

  Tablet for sale

  Habari ndg JF Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini). serious buyer call 0717 163106 SPECIFICATION ZAKE Nertwork : 2G & 3G Sim card : YES either TIGO,VODACOM,ZANTEL,ZAIN etc Body weight : 403...
 12. B

  SPECIAL THREAD : Njoo tupunguze uzito wa mwili pamoja

  mkuu kbm karibu sana...tuambie utatumia njia gan za kupunguza huo uzito ili u bance mwili wko
 13. B

  SPECIAL THREAD : Njoo tupunguze uzito wa mwili pamoja

  mkuu Albosignathus nazan kwa sasa haitaji place .,zaid n kupeana ile feedbak ya nn tunakifanya...mfano mimi binafsi leo na jana kwa asubuh nlkunywa chai na vpande viwili yya brown bread,mchana nkala maembe mawili na ndizi moja na jioni nkarudia kama mchana. hapa inaweza ikatoa waswas ya kwamba...
 14. B

  SPECIAL THREAD : Njoo tupunguze uzito wa mwili pamoja

  Habari wana JF... dhumuni hasa ni kupata kampan kwa ajili ya kupunguza uzito pamoja..natumaini kwa wale wenye uhitaji basi tutaweza kulitatua hili tatizo. njoo tujumuike 1-tujue ni vyakula gani tuweze kutumia kwa ajili ya kupunguza mwili 2-tujue ni matunda gani yanafaa zaidi mf...
 15. B

  Nauza UYOGA (oyster mushroom)

  mkuu hii kitu n nzuri sana..nilishawahi kuila n tamu zaidi ya nyama... na nilipata kusikia kuwa inatibu vitu vingi sana katika mwili wa mwanadamu.. watanzania waamke waanze kutumia chakula bora kwa ajili ya afya zao.,wenzetu weupe n walaji sana wa hii kitu maana huelewa manufaa yake.,hata...
Top Bottom