Tablet for sale

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
95
Habari ndg JF
Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini).

serious buyer call 0717 163106

SPECIFICATION ZAKE
Nertwork : 2G & 3G
Sim card : YES either TIGO,VODACOM,ZANTEL,ZAIN etc
Body weight : 403 g
Dimension : 192 *110 *12.6 mm
Type : TOUCHSCREEN & MULTITOUCH
Sound : YES LOUDSPEAKER
Card slot :MICRO SD UP TO 32 GB
Memory internal : 512 MB ROM,512 MB RAM
Speed : HSDPA 10.2 Mbps, HSUPA 2.0 Mbp
WLAN : WI-FI 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot
Bluetooth : YES ,V2.1 with A2DP,EDR
USB : YES, micro USB V2.0
Camera : 3.15 MP,2048 *1536 PIXELS
Video : YES
Messaging : SMS,EMAIL,PUSH EMAIL,IM
Browser : HTML
GPS : YES WITH A-GPS SUPPORT
Java : YES,VIA JAVA MIDP EMULATOR
Battery : STAND BY UP TO 500hr
Other features : SNS INTEGRATION
-MP4/H.263 PLAYER
-MP3/WAV/EAAC & PLAYER
-GOOGLE SEARCH,MAPS,GMAIL
-YouTube,GOOGLE TALK,PICASA
-DOCUMENT VIEWER/EDITOR
-VOICE MEMO
-PREDICTIVE TEXT INPUT
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
6,997
2,000
Internal memory ngapi?!!! 512MB?!!! Hapo hamna Tablet. At least internal memory (RAM) ingekuwa 2 GB inge-sound kidogo. Halafu apart from micro SD, yenyewe ina capacity gani?
 

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
95
Internal memory ngapi?!!! 512MB?!!! Hapo hamna Tablet. At least internal memory (RAM) ingekuwa 2 GB inge-sound kidogo. Halafu apart from micro SD, yenyewe ina capacity gani?

umeeleweka mkuu,shukran kwa mchango wako
 

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
6,997
2,000
RAM ipo chini kwa kweli, Processor ni ngapi? Android version?

Watanzania hatuwezi kujitangaza kabisa. Yani mtu anaweka tangazo nusu nusu kiasi cha kutia mashaka hata wasomaji kama hiyo gadget ni yake ama vipi...
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,374
2,000
Yaani nyie mnajua Kila memba was jf anajua tablet ni nini sio? Kwa taarifa yenu mi sielewi chochote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom