Smart collection (perfumed deodarant spray) zinauzwa kwa jumla

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
95
Habari Jf,
Tunauza Deodarant spray kwa bei ya jumla, bei Tsh 3500 kwa pic1..tunauza kuanzia pic 40 nakuendelea na unaletewa hadi ulipo kwa Dar es Salaam.
Call : 0718 446935
 

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,074
1,225
Habari Jf,
Tunauza Deodarant spray kwa bei ya jumla, bei Tsh 3500 kwa pic1..tunauza kuanzia pic 40 nakuendelea na unaletewa hadi ulipo kwa Dar es Salaam.
Call : 0718 446935

Sijaelewa yaani pc moja ile spray moja tu inauzwa hivo au zile.dozen.hebu kua waz kama unataka biashara habar za kuweja taarifa juu juu kama ndizi haruzitaki.na.useme unbidhaa gani jipange sio kukurupuka tu
 

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,989
2,000
Best tangazolako halijakaa vizuri waambie watu vifaa unavyouza, aina yake na bei zake ili mteja akitaka anakwambia nataka aina gani itakuwa rahisi kwako best na ikiwezekana hata picha za hizo bidhaa ukionesha itakuwa vizuri best
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom