Natafuta BODY YA DEEP FREEZER yenye urefu wa Futi 6 hadi 8

Bobo

Member
Aug 20, 2011
54
8
Habari zenu waungwana,
kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza natafuta body ya deep freezer ya aina yeyote ile yenye urefu wa futi 6 hadi 8.
Mwenye nalo naomba ani pm.
Liwe ndani ya eneo la dsm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom